Tunaishi kwenye jamii ya ajabu sana. Watu wanaona uharibifu na kuuacha uendelee kisa tu haujawafiki malango mwao. Wanausikia tu kwa wengine.
Hawa mabinti walioambukizwa wangekuwa wanatoka kwenye familia zao wangepaza sauti kukemea uovu huu.
Badala ya kuongeza nguvu sasa kukemea tabia hizi ili...
Hii ya kutumia nafasi za kikuhani kufanya uharibifu kwa waumini badala ya kuwajenga kiimani ni mbaya sana. Kibaya zaidi mambo ya hawa mbwa mwitu waliovaa ngozi za kondoo yakiwekwa wazi inaonekana wanapakwa matope eti wanasingiziwa. Labda nyie wenzetu hamjawahi kuyapatwa na mabaya yao.
Sawa mna...
Umelipambania na kulitetea kikwelikweli jina(Image) ya kanisa lako as if lenyewe kama lenyewe takatifu.
Kanisa/Dini ni organisation sio mtu. Ni jina tu. Haliokoki. Waliopo ndani yake ndo wanafanya liwe safi au najisi kwa matendo yao. Kama jina hata halina utakatifu wowote acha liongelewe...
Hao mnaowazalisha mnataka waolewe na nani? Wapeni heshima zao bana. Mlivyoshindwana nao nyie sio kila mwanaume duniani atashindwana nao. Wamewazalia watoto, ni baraka. Msiwafanye wawe wamelaaniwa kwa kuzaa na nyie.
Wengi mnaoongea hivi mmezalisha wanawake kibao. Kuweni na upeo wa kiutu uzima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.