Recent content by Turnkey

  1. Turnkey

    Kupitia UTT, Ninahitaji milioni 2 kila mwezi

    UTT ni 1% kwa mwezi Ila unapata hela Mara mbili kwa mwaka kila baada ya miezi 6
  2. Turnkey

    Laana ni kuchukua TZS Bilioni 3 ili mfanye siasa

    Badala ya kuuwa vyama vya siasa akafa yeye ..Mungu fundi🏃🏃🏃
  3. Turnkey

    Top 10 ya nchi zenye utajiri wa madini Afrika, Tanzania haipo

    Tanzania is the 4th largest gold producer in Africa after South Africa, Ghana and Mali and is the world's sole producer of the precious stone Tanzanite. Gold production currently stands at roughly 40 tonnes a year, copper at 2980 tonnes, silver at 10 tonnes and diamond at 112,670 carats. 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
  4. Turnkey

    Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

    Utakuwa wa makamo mwenzangu umenikumbusha stori za Mchonga..any ways hata kwenye biblia Kuna manabii wengi hawakuwa na masinagogi🏃🏃
  5. Turnkey

    Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

    Lema ni nabii alisema bwana yule aache Mambo ya ovyo au ataenda zake ikawa. Sasa swala la bodaboda mmemulewa vibaya ..dongo kaipiga serikali kuona bodaboda ni ajira..watu wanalala maofisini Hawana vision kwa Taifa hili ..tuna maliasili kibao kwenye nchi lakini tumezikalia tu...A blessing in...
  6. Turnkey

    Data driven decisions. Kwanini NALA wawe na HQ Kenya na sio Tanzania?

    Yaani unafungua thread kabisa kuongelea $5m ya mtu wakati mafisadi kila siku yanapora mabilioni ya miradi tumekaa kimya🏃🏃🏃
  7. Turnkey

    Lema: Bodaboda imekuwa ni ajira ya Laana

    Najiulizaga Hawa bodaboda wakifika miaka 45 na kuendelea itakuwaje?🏃🏃
  8. Turnkey

    Lema: Bodaboda imekuwa ni ajira ya Laana

    Nenda Kijiji chochote jamii ya kikristo inakuwa na maisha Bora kuliko "Wapagani" 🏃🏃🏃🏃
  9. Turnkey

    CHADEMA hawana heshima, Rais Samia ametua Arusha wao wamejaza bodaboda barabarani kumsubiri Lema

    Acha kuishi kwa Mazoea..A wise man changes his mind....a fool never will🏃🏃🏃
  10. Turnkey

    Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

    Kuna shida moja. Muislamu hata asome vipi lazima awe na ujinga Fulani🏃🏃🏃🏃🏃
  11. Turnkey

    Arusha: Yanayojiri kwenye Mapokezi ya Godbless Lema

    Childish🥒🥒🥒🥒utalishwa
Back
Top Bottom