Nimenununa bidhaa kutoka aliexpress na nikiangalia tracking information zinasema mizigo ishafika Dar . Je ntaipataje au ntapigiwa simu? Nlitumiwa kupitia china post
Majina ya waliopata mkopo kwa wanafunzi wanaondelea namaanisha mwaka wa pili na watatu bado hayajatoka kwa vyuo vyote .kwahiyo uwasiliane na loan officer wa hapo udom ili ujue hayo majina yakiwasili chuoni kwako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.