Kuna njia nyingi ambazo wajanja wanaweza kuzitumia kupata fedha lakini ili uwe salama inabidi njia utakayoitumia inabidi isiwe ya wazi sana. Ni muhimu uwe makini kama KAGODA Agricultural Ltd. Si mnajua hawa jamaa hadi sasa DPP hajaweza kupata ushahidi wa kutosha kuwapeleka kizimbani! Hawa DECI...
Kuna madaktari wawili walizama katika bwawa lililopo katika maporomoko ya maji pale Sanje Water falls- Kilombero siku ya Jumamosi (April 11th, 2009). Madaktari hao ni walimu katika chuo cha Tanzania Training Centre for International Health (TTCIH) kilichopo Ifakara. Madaktari hao (marehemu Dr...
Japokuwa kuna manufaa ya kuingia kwenye shirikisho lakini gharama yake inaweza kuwa kubwa zaidi kwetu (waTz) kuliko hawa jirani zetu. Nchi kama Rwanda ambayo mambo ya ubinafsi yanachangia kuinyima amani DRC eti nayo ni member wa EA. Wakati waziri wa Kenya alipoanza kuleta chokochoko za ujenzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.