DECI ni aina ya UPATU na haya mashindano ya Kampuni za Simu ya kushindania magari je? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DECI ni aina ya UPATU na haya mashindano ya Kampuni za Simu ya kushindania magari je?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mmaroroi, Apr 17, 2009.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kampuni ya kupanda na kuvuna ya DECI imesitisha shughuli zake baada ya kugundulika kuwa ni aina ya UPATU na hivyo wadau wakatahadharishwa wasije wakapoteza mitaji yao kwa njia hiyo.Sasa kuna mashindano ya kampuni za simu za mikononi kushindania kushinda zawadi mbalimbali kama magari je hii nayo si njia nyingine inayoweza kupoteza mitaji ya wadau.Tuelimishane kwa hili.
   
 2. T

  Tupendane New Member

  #2
  Apr 17, 2009
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna njia nyingi ambazo wajanja wanaweza kuzitumia kupata fedha lakini ili uwe salama inabidi njia utakayoitumia inabidi isiwe ya wazi sana. Ni muhimu uwe makini kama KAGODA Agricultural Ltd. Si mnajua hawa jamaa hadi sasa DPP hajaweza kupata ushahidi wa kutosha kuwapeleka kizimbani! Hawa DECI walifanya mambo yakawa wazi mno hivyo wakashtukiwa
   
 3. j

  joshua_ok JF-Expert Member

  #3
  Dec 13, 2016
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 4,585
  Likes Received: 2,691
  Trophy Points: 280
  DECI imehamia kwenye nyumba za ibada. Wenyewe wanaita kupanda mbegu.
   
Loading...