Kenya Vs Uganda:The Migingo Island Controversy. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kenya Vs Uganda:The Migingo Island Controversy.

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by kayundi2, Mar 13, 2009.

 1. k

  kayundi2 JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2009
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kenya's has termed the invasion by Uganda Forces at Migingo as inconsequencial and termed Uganda Soldiers as babies.Major Jeremiah Kianga who was addressing journalists in Nairobi yesterday said Kenya will not send millitary to the island and when challenged to explain more he said General Service Unit officers were upto the task.While saying the millitary will not be involved in such an operation,he said that Uganda was acting irresponsibly when all countries were acting to reach an agreement on abolishment of boundaries.He said though that his soldiers were ready to move to the island if
  Uganda could not withdraw but also insisted that GSU were ready to act
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Hivi ya nini kugambana mipaka waliweka Waingereza tena miaka 1880's???? Leo eti mnataka kuuana! Ili iweje???

  Yaani Afrika ni ajabu nja kweli!
   
 3. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Hapa sasa patamu, kwani kisiwa chenyewe kuna mali ipi? Halafu mseveni mbona ni mwepesi wa kutumia jeshi lake la kitoto kama alivyoambiwa badala ya kukaa meza moja wakaongea na kukubaliana?

  Wana JF, mnaona ni sahihi kuendelea na EAC kama mambo yenyewe ndio haya? Tuvunje EAC itatuletea matatizo
   
 4. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,922
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Haya bwana... huku tunaambiwa na Membe tupo mbioni kwenye sijui federation . Yangu macho yale yale ya idi amin 1979
   
 5. T

  Tupendane New Member

  #5
  Mar 13, 2009
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Japokuwa kuna manufaa ya kuingia kwenye shirikisho lakini gharama yake inaweza kuwa kubwa zaidi kwetu (waTz) kuliko hawa jirani zetu. Nchi kama Rwanda ambayo mambo ya ubinafsi yanachangia kuinyima amani DRC eti nayo ni member wa EA. Wakati waziri wa Kenya alipoanza kuleta chokochoko za ujenzi wa makao makuu na Rwanda wakaanza kuunga mkono bila kujali mkataba unasemaje!

  Mambo haya ya ushirikiano yanahitaji wataalam wenye moyo wa kizalendo na upendo kwa nchi yao (wasio na ushawishi wa maslahi binafsi kama Dr Rashid wa TANESCO na wakina Zitto Kabwe) wenye uwezo wa kuchambua athari za ushirikiano huo kisiasa, kijamii na kiuchumi.
   
 6. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  wakenya hopeless kabisa. maneno tu, hawana lolote. siku zote wanakuwa wazuri sana wa maneno. kama wao wanaume, jaribuni kuweka pua hapo kwa mseven. ndio mtaona kumbe hapa east africa nyie wakenya ndo lazy and helpless babies.

  nasapoti kulinda mipaka. wewe unayesema si vizuri kulinda mipaka haujui kitu. Tanzania on our side, tujifunze kwa wenzetu hawa wawili kenya na uganda. sisi nasi tuangalie kama kenya akijabiru kuweka pua kwenye mipaka yetu, tutie timu haraka na majeshi yetu.
   
 7. M

  Mnairobi JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2009
  Joined: Oct 27, 2007
  Messages: 250
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  uganda is no match for kenya
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Who asked you?

  Muombeni MODS wawaanzishie forum yenu ya kujigamba, ugomvi, ukabila na mambo mengine yanayozikuna roho zenu..

  JF tunazungumzia vitu vya kujengana, sawasawa ?
   
 9. M

  Mnairobi JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2009
  Joined: Oct 27, 2007
  Messages: 250
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jeeez, you go ahead and insult me and my people because i aired my own opinion and the you go ahead and ask for ma banning!!!!!!!!!!
   
 10. M

  Mnairobi JF-Expert Member

  #10
  Mar 13, 2009
  Joined: Oct 27, 2007
  Messages: 250
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  its a fact, uganda is no match for kenya. its no use sending troops over there, just send the GSU , they will deal with them.
   
 11. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #11
  Mar 13, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  So let it be.

  Unapobwabwaja hapa unataka kumtishia nani?
   
 12. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #12
  Mar 13, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  tehetehe, if Uganda is no match with Kenya, mbona mmenyamaza kimyaaa, you have no such history, you are hopeless and helpless babies. tis because, instead of working to improve your lives, you waste your time fighting each other to welcome a ten million people with famine and starvation. how often will you keep on asking for food from other countries? si mkae mlime mashamba yenu? kiburi kikubwa wakati mna njaa. you should have asked uganda to give you food before you insult them as babies. wenzenu hawana njaaa. nyie mnao uwezo kufinance vifaru ambavyo hata kuvitumia hamjui, badala ya kununua mbolea kwaajili ya raia wenu ili njaa isiwakute. akili yenu iko wapi sasa wakenya?
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  Mar 13, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  If so, go ahead and make their day..Mnabaki kupiga kelele hapa jamvini.

  Muzee umezaliwa Lamu nini, naona mineno mingi sana wewe..
   
 14. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #14
  Mar 13, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Haya tuoneshe ni wapi Bw. Kianga amesema Uganda ni babies.

  MODS, futa hii thread..
   
 15. W

  Wa Okeleki Member

  #15
  Mar 13, 2009
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah,tumefikia huko?Sasa hili federesheni letu litakuwaje?Inabidi hizi tofauti zisolviwe fasta,otherwise we have a long way to go!
   
 16. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #16
  Mar 13, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mnairobi, you should go to the ugandan forums and pour these threats to them. they are of no use to we tzs. sisi hapa tuna amani zetu, hatuna haja ya kujua kama mtapigana au la, au kama mna nguvu kuliko uganda au la, tis none of our business. this is the reason why tz is delaying to the east africa federation or whatever you want to call. tis because of these childish things between you and your fellow ugandans.

  hapo ndo mtatuona sisi wabongo tuna akili.
   
 17. M

  Mnairobi JF-Expert Member

  #17
  Mar 13, 2009
  Joined: Oct 27, 2007
  Messages: 250
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Uganda has no airforce or navy, why overwhelm these people? Just send the gsu or better still anti riot police.
   
 18. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #18
  Mar 13, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ugand,kenya and tz all have air force. they just don't want to reveal their secrets to you. if they are not good at that, why do they have that confidence to step into your island? after all, what is airforce for? hata kama uganda wangekuwa hawana airforce, hako kandege ka kizamani mlikonunua nyinyi wakenya kanaweza kudondoshwa na kombora moja tu na hamna ndege tena. unafikiri air force ndo pekee kupigania vitani? kweli akili yako hopeless. kama mnataka kukapoteza hata huto tundege twa kizamani, pelekeni vitani mkaone wenzenu wanavyozifurumua na mtabaki na historia ya kutokuwa na airforce.

  the only salvation you can get is from your ubama, bila hivyo, ninyi hamna uzoefu, hamjui kupigana na mtapigwa mkiigusa hata somalia tu.
   
 19. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #19
  Mar 13, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Mie naona Mnairobi na Wakenya wengine wa JF do not represent what Kenyans as good neighbors are or think about us!

  Maanake nina rafiki wengi sana..tena poa sana ndugu zetu toka Kenya...ni watu wema sana!

  Ndo maana hata mimi hizi thread za Mnairobi huwa sinanitatiza!

  Just Ignore them!
   
 20. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #20
  Mar 13, 2009
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  to tell you the truth, that's how most kenyans are. wako hivyohivyo. wewe kama unao marafiki wengi wa kikenya, sisi wenzio tumeishi huko kenya. cha maana ni kuwavumilia, na kufanya nao urafiki(wa kinchi) kwa machale na umakini mkubwa. hawachelewi kukuruka na kukuingiza mjini. dunia nzima sasa hivi ukijiita wewe mkenya au mnigeria, unatiliwa mashaka kidogo. kwasababu(hasa wakikuyu) wana akili sana za kuliza watu. they are after money, pesa mbele, utu na ubinadamu baadaye.
   
Loading...