Recent content by Tunzo

  1. Tunzo

    JamiiForums Tanzania Leo G.O.A.T atakuwa uwanjani saa mbili na kamili usiku

    Kazurura tu leo
  2. Tunzo

    JamiiForums Tanzania Nimempa Spain Mazima, nimeweka 1,724,000

    Huyu jamaa hajazimiab huko aliko
  3. Tunzo

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kujengwa kanisa la kilokole hapa Mwenge kwenye makazi ya watu, Mkurugenzi Halmashauri kuna kitu, Takukuru, NEMC amkeni

    Kujengwa kanisa la kilokole hapa Mwenge kwenye makazi yawatu mkurugenzi halmashauri kuna kitu, Takukuru, NEMC amkeni Katika hili suala Mwenyekiti wa serekali ya mtaa Mwenge, Mjumbe pamoja na wenyeji wanaozunguka eneo wamekataa ila huyu mama aliepangishwa hapa kujenga kanisa, Kama umeshapita...
  4. Tunzo

    JamiiForums Tanzania Hivi utadharau vipo watu wako milion 59 na zaidi unapeleka game kwa watu hawazidi milioni

    Nasikia tena Dabi ya kariakoo inachezwa zenji, ni upuuzi mtupu
  5. Tunzo

    JamiiForums Tanzania Hivi utadharau vipo watu wako milion 59 na zaidi unapeleka game kwa watu hawazidi milioni

    Uongozi wa Yanga ujitafakari, na utafakari tena, mashindanyo makubwa kama haya unapeleka tanzania bara, huko zanzibar, unaacha watu mamilion washangiliaji hapa, mjitafakari, msipoangalia mtaweka ujinga wa uzanzibari na utanzania, au udini, hapa DSM watu wanatoka mikoa uanakuja hapa Dar es...
  6. Tunzo

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arteta alaumiwe kwa hii game, Yani unatafuta ubingwa alafu unaanzisha kikosi cha akina madueke
  7. Tunzo

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nchi za kikristo zikizuia misaada nchi za kiislamu zitatusaidia

    Akili zako zimejaa matope
Back
Top Bottom