Recent content by tunze

  1. T

    Sakata la Kampuni ya Lugumi: IGP na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani watupiana mpira

    Kwa hiyo serikal ilikuwa imeshalipa bei gani kwa hao Lugumi?
  2. T

    Kazi Kiwanda Cha Saruji Dangote

    Duuuh hizo experience majanga aisee
  3. T

    Watu wa information technology(it) office za mikoa na halmashauri za wilaya

    Wakuu naombeni mnisaidie hv watu wa IT especially system analysts katika office za mkoa na wilaya (serikalini) wanafanya kazi gani hasa .....maana nimepata mkoa mmoja sasa naomben mnaofanya kazi huko au ambao mna watu wanaofanya huko mnipe overview...nashukuruni sana.
  4. T

    Uchumba

    unauliza utawapata wapi au utawapataje?mbona hueleweki?watu hawakuelewi humu
  5. T

    Love stories

    Daaah umetisha,kitu ni cha ukweli
Back
Top Bottom