Recent content by Tununu9

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini kipindi cha Mfungo wa Ramadhani bei ya vyakula hupanda?

    Kwaivyo wewe ulitaka wasile kabisa ndo iwe wamefunga?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mshangazi wa 1997 ananisumbua anataka nimuoe

    Kwani wewe una umri gani?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Habari zenu wadau naomba kujulishwa chimbo la vikorokoro vya kitoto kama vile baby walkers , baby cars , baby bicycles na kadhalika wanapouza kwa jumla
  4. T

    JamiiForums Tanzania Katiba ya Warioba: Namuona Magufuli akiwa Rais wa Tanganyika 2025-2035

    Hii pia ni ramli chonganishe umejuaje kama hakitotokea
  5. T

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yaambulia Manaibu Waziri 2 katika Baraza jipya la Mawaziri

    Mtoa mada kazungumzia kuhusu mawaziri wewe unamtajia manaibu waziri, wewe ndo huna taarifa sahihi Mana hujui kama manaibu waziri sio wajumbe wa baraza la mawaziri
  6. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zanzibar: Jeshi la Polisi lawataka wagombea kuacha kutoa matamshi ya vitisho, lasema hatua kali zitachukuliwa kuhakikisha amani ya nchi inalindwa

    Wamesema wakiibiwa kura zao ndo wataingia barabarani kwaivyo mkitaka wasiingie barabarani msiwaibie kura zao.
Back
Top Bottom