Recent content by TunuB

  1. TunuB

    JamiiForums Tanzania Nawaonea sana huruma vijana na wanaotaka kuanza biashara maana, sehemu nzuri za biashara zimeshaisha

    Mimi nimefungua kibanda cha uwakala wa mitandao ya simu mwez wa 1 ila kabla ya apo kila nikiangalia sehemu ya kuweka goli sioni vibanda vmejaa kila kona lakini mwisho wa siku ni maamuzi tu na kujitoa muhanga,mje mtoe pesa jmn nipo g,mboto apa stendi
  2. TunuB

    JamiiForums Tanzania Ni Aibu sana Azam TV kutelekeza wateja na kuangalia Mpira wa Simba na Yanga

    Ndomana wanasemaga lipia mapema kuepuka usumbufu wa kimtandao
  3. TunuB

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya shingo gesi kupanda shingoni

    Kama kuna mziwaziwa karibu mwambie awe anatumia kama chai
  4. TunuB

    JamiiForums Tanzania MOI tunashiriki Zanzibar Afya Week 2025

    Ila li Poor Brain akili yako
  5. TunuB

    JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na tabia za mume wangu na dada yake nisaidieni nifanye nini?

    Ahahahah iyo lazima itokee
  6. TunuB

    JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na tabia za mume wangu na dada yake nisaidieni nifanye nini?

    Woiiiiii uyo ni mrangi mwenzang ivo vitu kule Kondoa ni kawaida sana amini nakwambia
  7. TunuB

    JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na tabia za mume wangu na dada yake nisaidieni nifanye nini?

    Pole sana dada ila una uhakika uyo ni kaka ake kweli?. Na kama ni kaka ake basi uyo mumeo ndo wale wanaume wa jf waliokula tunda kimasihara kwa ndugu zao ila huyo wako kashindwa kuachana na uyo dada ake By the way uyo mumeo kabila gani maan kuna makabila kutembea wao kwa wao sio shida zao.
  8. TunuB

    JamiiForums Tanzania Maisha ya wasanii ni ya kisanii sana. Pole Wastara

    Na tangu apo hakuna mtu anamjali tena na sasaiv kaja kivingine
  9. TunuB

    JamiiForums Tanzania Maisha ya wasanii ni ya kisanii sana. Pole Wastara

    Na tangu Mange aseme athibitishe kipindi kile alivyofake kuumwa ili apate pesa ndo kabsa watu kama wamempuuza,.....eti anasema hataki kufa kama Hawa, Kufa muhimu bi dada
  10. TunuB

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana humu member anayeitwa tajiri wa kusini ana pesa na roho mzuri wakuu

    Wenye wivu watasema Id moja
  11. TunuB

    JamiiForums Tanzania Arusha; Baba aokolewa akitaka kujinyonga baada ya mtoto kubebwa na mafuriko

    Daah mtihani kweli,....baba anatamani arudishe masaa nyuma,pole kwa familia
Back
Top Bottom