Recent content by TuntemekeSanga

  1. TuntemekeSanga

    Familia mbili za anunaki ndio zinasumbua dunia hii hadi leo

    Hii inaitwa "WAAFRIKA TUJITAMBUE/TUAMKE!" Period!
  2. TuntemekeSanga

    Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

    Jaribu kuushughulisha ubongo wako kidogo mkuu. Unakumbuka Mpina alichangia nini kwenye sakata la DP WORLD?.. Kuna hoja nyingi sana na Ngumu mpina kajitoa Muhanga kuziongea mpaka unamuonea huruma kwamba huyu anaotezwa kesho(in Kagera's chairman for UVCCM)
  3. TuntemekeSanga

    Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Bado hatuungi mkono Mkataba wa Bandari

    Tangu lini Nyani aliheshimiwa? Wanatuona Manyani
  4. TuntemekeSanga

    Kale ka nchi kanaweza kuvamiwa na kushambuliwa, lakini mwisho wa siku, mvamizi ataambulia kujuta na kusaga meno

    Kana connection kubwa sana ka nchi haka. Ndo ubabe wake unaijia hapo
  5. TuntemekeSanga

    Wafahamu wagombea wanaokwenda kushindana na Dr Tulia katika nafasi ya kuwania Urais wa IPU

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  6. TuntemekeSanga

    PICHA: Huenda Rais Samia akawa ndio Rais anayevuta watu wengi zaidi kwenye mikutano yake kuliko marais wote waliomtangulia

    Ziara niya Kikazi, sio ya Kampeni. Konde Boy, Ali Kiba wanatafuta nini? Haya, naona na TISS wanatimba kepu za CCM/Mama, vyanini wakat sio campaign Rallies? #MsituoneNyani!
  7. TuntemekeSanga

    Hii ndio mikoa ambayo Rais Samia amewekeza nguvu kubwa kuiletea maendeleo

    Namanyere-kirando njia unatisha mnoo, nmepita majuzi huko for the first time. Kama unatoka namanyere, mbele mbele kule kuna ki daraja flan, ukiwa unapita, yaan ata kama huna dini, lazima usalie ata mizimu. Tena sio daraja moja, yapo kama matatu ivi, walaah!
  8. TuntemekeSanga

    Karne ya 21 Katibu Mkuu wa CWT alikuwa mwalimu wa Daraja la 3A?

    Uongozi ni Karama, sio elimu tu. We ona ata Bungeni mle, Kishimba STD 7 ana uwezo mkubwa wa hoja na uthubutu/uzalendo kuliko Mwigulu PHD
  9. TuntemekeSanga

    Nini kimemkuta Paul Pogba?

    Pogba ni Balotel aliyezubaa, mulemule. Kiburi/jeuri
  10. TuntemekeSanga

    Live Updates NBC Playoff: Mbeya City Vs Mashujaa-Kigoma

    Hahahaaaaa! Uwage unachanganya na zako mkuu, nilimwambia Kigoma hatoki fala, akaniijia juu. Haya sasa!
  11. TuntemekeSanga

    Live Updates NBC Playoff: Mbeya City Vs Mashujaa-Kigoma

    Sawa sawa![emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
  12. TuntemekeSanga

    Live Updates NBC Playoff: Mbeya City Vs Mashujaa-Kigoma

    [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  13. TuntemekeSanga

    Live Updates NBC Playoff: Mbeya City Vs Mashujaa-Kigoma

    Mkuu, Kigoma hatoki fala. Tukutane dakika 90
  14. TuntemekeSanga

    Wanasiasa mpo wapi? Watu wanauawa sana. Mmenyamaza kabisa hamyasikii na kuyaona haya?

    Tulia mkuu, kuna maridhiano tayar. Kwaiyo, hakuna haja ya makelele. Nchi ishatulia tayar. Famaskhara nn? Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
  15. TuntemekeSanga

    TCRA wafuatilieni Vodacom, wanafukarisha wananchi

    Wajinga sana awa. Mwenye nishawatundika hela yakutosha kwanzia Songesha na M-PAWA, kimyaaaa. Biti kama lote, sibabaiki ng'oo Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom