Recent content by tunguli sadiki

  1. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tip From Deep Inside: Uchunguzi wa Kesi 9 za Ufisadi Mkubwa Umekamilika.Soon Vigogo Kizimbani

    Hata akina mramba walikwenda jela bila wakuu kuhusika
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA ikiwa katika kikao chake leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Saint

    Lazima mjadili maana tumewapiga bao Kali sana,
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ninampinga Magufuli hadharani. Sio mnafiki na sijahongwa

    Lissu vita sio kupiga kelele ni mbinu laiti kama magu angekua nimpiga kelele kama wewe nakuweka msimamo wake hadharani Leo asingekua rais na wewe kwa kelele zako hizo hupewi urais
  4. T

    JamiiForums Tanzania Social Media Reactions: Nape, Zitto, Tundu Lissu na wengine wampongeza Rais John Magufuli

    Nashauri takukuru wampitie huyu jamaa, mwizi mla rushwa
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kongamano la kujadili demokrasia nchini, CCM waingia mitini kama kawaida yao hawatashiriki

    Mnatafuta njia ya kujinasua tu maana tumewakamata kwelikweli,mbona ulivio itishwa mjadala wa wagombea urais kipindi cha kampeni hakuonekana MTU?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nape: CCM ikiendelea hivi wananchi hawatairudisha madarakani

    Amesahau kama kuna urithi was bao la mkono
  7. T

    JamiiForums Tanzania Haya Katibu Mkuu wa CCM, Kinana huyu hapa!

    Cdm bwana,Sera kwishnee maana hata yanayo husu viongozi wetu mwayatafutia kick vipi nyie?
  8. T

    JamiiForums Tanzania Haya Katibu Mkuu wa CCM, Kinana huyu hapa!

    Je magazeti yataandika kuhusu kinana kuonekana msibani?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Haya Katibu Mkuu wa CCM, Kinana huyu hapa!

    Cdm mmezoeya kutulisha matango pori
  10. T

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

    Hata usipompenda hapungukiwi na chochote in hasara kwako tu
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kwa anayoyapitia RC wa Dar kwa sasa bora angejiuzulu

    Subiri hapohapo ulipo atajiuzuru umuone
  12. T

    JamiiForums Tanzania Said Kubenea: Mkataba Wa Richmond Ulisainiwa Na Lowassa Kikwete Akiwa Nje Ya Nchi

    Mungu hua anachagua mashetani? Na mkataba huo mpaka leo bado unatunyonya damu
  13. T

    JamiiForums Tanzania Gwajima amcharukia Diamond

    Huku gwajima utapotea huku ni kwa watoto wakihuni kwao ufreemason sio kashfa
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kutoka Kanisa Ufufuo na Uzima: Gwajima awazungumzia Diamond, Halima Mdee kumtusi Spika na Utekaji

    Huko sio mahala pa siasa we endelea tuuu usijepiga kelele nakuomba msaada
  15. T

    JamiiForums Tanzania Nadhani ujumbe umefika, hakuna tena mwingine atakayekuja na 'single' ya kejeli kwa viongozi

    Hivi jamaa ile nafasi ya mpotompoto ipo salama kweli?
Back
Top Bottom