Recent content by Tungu Ilguja

  1. Tungu Ilguja

    Kuwa makini na hizi kampuni zifuatazo za kubeti maana ni matapeli

    Kucheza kwenye app ya Parimatch ndio uhakika zaidi, Mfumo Salama na Unaotegemeka - Parimatch ni kampuni inayotambulika katika sekta hii, inayohakikisha miamala salama, ulinzi wa data na malipo ya kuaminika.
  2. Tungu Ilguja

    Magufuli ndio Rais ambaye hakuacha legacy yoyote

    Hili andiko lako linahusiana vipi na kinachoendelea kati ya Yanga na TFF?
  3. Tungu Ilguja

    Wapendwa naona kama mwisho wangu umekaribia

    Mimi nadhani kuna sehemu ulikosea, Mungu anataka ujifunze kwanza ili ukirudi juu usirudie makosa zingatia kama kuna binadam wenzio uliwakosea...
  4. Tungu Ilguja

    Kwanini ni Mbowe na sio Lissu na kwanini CHADEMA haifi?

    Ukiniuliza Mbowe na Lissu nani anatumika na CCM, nikuulize Mbowe alisema atamfikisha Peter Msigwa mahakamani ndani ya siku tano iwapo asipomlipa bilioni 5 na kumuomba radhi. Huu sasa ni mwezi wa tano, Msigwa anatia spana tu. Upande wa Mbowe zzzzzzzzz!!! Mfyuu, tunamtaka Lissu..
  5. Tungu Ilguja

    Ninachokijua kuhusu Miradi ya DMDP na Ujenzi wa Miundombinu Mkoani Dar

    Kwa upande wa Temeke (Mbagala), mungeongeza juhudi ya kutanua Barabara ya kuanzia Kituo kikuu cha mabasi ya mwendo kasi Mbagala mpaka Vikindu pia lijengwe daraja linaloeleweka pale Kokoto.
Back
Top Bottom