Hawa waASIA ccm ndio iliyowapa maisha sio juhudi binafsi......rejea case ya privatization of government industries, waASIA wengi walipewa bure viwanda au bei sawa na bure kisha wao wakaenda kukopea mikopo mikubwa duniani huko, hadi leo mo dewji kuna mashamba ya chai kayatelekeza rungwe huko, kwa...
Hii nchi ina fursa tele karibu kwenye kila sekta, shida ni capital,technology,experience na bureaucracy ambapo ukiwa na link na mafisadi hivyo vyote sio tatizo kwa hiyo sioni hizo innovative skills za bakhresa, ushawahi kujiuliza fursa zilizopo kwenye madawa ya binadamu na vifaa tiba? kuna...
Kuna uhusiano mkubwa kati ya mwinyi family na bakhresa group hili wengi wanajifanya hawaoni ila lipo wazi kabisa, hawa waasia mwinyi chini ya ccm ndio aliwapa maisha ........rejea case ya magufuli kutaka kumnyang'ana aziz aboud mabaki ya kiwanda morogoro, ccm inakula nao hawa waASIA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.