Recent content by TUNDUJECHA

  1. T

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua kama join instructions za vyuo vya mifugo zimetoka

    mara nyingi huwa wanatoa kwenye tovuti ya wizara vyuo vyote vya mafunzo ya mifugo( LIVESTOCK TRAINING AGENCY- LITA)
  2. T

    JamiiForums Tanzania G5 Mwanza wamedhamiria kumng'oa mkurugenzi wa manispaa ya Ilemela

    acha wafu wazikane
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mwajiri (serikalini) kuchukua vyeti halisi (originals) ili kuvihakiki

    ondoa hofu watavpata tu serikali sikivu hii na inajua nn inachokifanya
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mnyika kalisahau jimbo lake la Kibamba

    Ni haw hawa mkuu walisema mnyika hatoboi ubunge tena hata kama kahamia kibamba lakini ukumbuke kibamba si lilikuwa jimbo la ubungo au? Si wananchi walewale ambao liwaongoza akiwa ubungo? Acha unafiki bro mi ni mkazi wa kibamba jamaa yuko poa tu hana shida ni mchapakazi labda cjui unayako binafsi...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Sponsor wa Elimu

    Pole kaka/dada kama unasoma masters inamaana tayari unashahada au elimu yeyote inayoendana na hiyo, hebu jitafakari kwanza wakati unachukua maamuzi ya kuaply hukujua kama kuna gharama , za masomo? baada ya kumaliza shahada yako ulikuwa unajishughulisha na nini? kama unacho chakuanzia sema tujue...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya kidato cha 6

    Weng mmemshauri ya kuendelea na shule lakini yeye kasema hajui la kufanya anaweza hata fikiria kufanya biashara pia kwani nalo ni jambo la kufanya
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Darasa la saba kufutwa, somo la maadili laanzishwa shule za msingi

    kuna mambo watanzania si yakuyafanyia dhihaka mfano elimu ni moja ya hayo mambo sijui nchi hii inaenda wapi toa enzi za yule jamaa wa mafinga mr Mungai hadi leo mama Ndalichako ni aibu tupu mambo yamebadilishwa chungu nzima watanzania tupo kimya na wengine ni waathirika wa haya mi naona kuna...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Napata wasiwasi na shule anayosoma kijana wangu

    Afadhar ya wewe unapitia hata madaftar ya mwanao na kujua wap kuna makosa wengine wapo humu hata hawajawah pitia madaftar ya watoto zao kumbuka msingi hujengwa toka chini HONGERA BABA UNAYE JUA MAJUKUMU YAKO
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kozi ya Bachelor of Logistics and Transport management ina ajira kwa sasa???

    Du wakat mwingine inahitaji moyo kupokea ushauri haya lakin dogo nadhani ashaelewa
  10. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, mimi kusoma sijui je hata picha sioni?

    mwenye........haambiwiwi tazama hakika ni ushauri mzuri wapo humu wanauona
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ukiona SMS hii ujue ni Tapeli!!!!

    umakin unahitajika hasa kwa vijana wa kileo ambao kujua mchele na chuya n mtihani kwao
  12. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndalichako avisotesha vyuo vikuu

    Na kweli tunaisoma
  13. T

    JamiiForums Tanzania Literacy Week - BOHUMATA

    asante tutakaribia lakin nadhan ntakuja baada ya UKUTA 2/9/2016
  14. T

    JamiiForums Tanzania HELSB: Ufafanuzi kuhusu madai ya wasiokopa kudaiwa mikopo

    kiukweli hapo sheria ichukue mkondo wake wamepiga hela hao
Back
Top Bottom