Lucky One
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 663
- 430
Ni hivi mkuu,...hii si miaka ambayo bado tusubiri mtu afike sekondari ndo afunzwe TEHAMA hio ni kama tu hauitakii mema nchi hii.Kinacho takiwa kwa sasa serikali iongeze bidii kufundisha TEHAMA shule za msingi maana wakianza tangu huko itakuza ufanisi wao.Kumbuka samaki mkunje angali mbichi....Tehama haifundishwi isipokuwa shule chache sana, kwa sababu nadhani zaidi ya 75% ya shule hazina mazingira na vifaa vya kufundisha somo hilo, kwa hiyo wala usicomplain kwa hilo!!
Somo likifundishwa kuanzia sec/sch.no sawa tu!