Umesikia uteuzi wa wagombea ubunge wa Bunge la Afrika masharika? Mbowe ameenda na jina la Masha na Wenje na kuwatangaza kuwa ndiyo watakaopitishwa na bunge. Hakuna wa kuhoji. Atakaehoji ni msaliti.
Hiyo ingetokea ccm ungesikia povu la nyumbu wa cdm.
Akili yako imechanganyika na viloba. Nenda Muhimbili ukasafishwe huo ubongo wako.
NB÷ una deni la Tshs 1000, kwa siku unapata au unakusanya Tshs 200 katika biashara yako na katika pesa hiyo unamlipa mdeni wako tshs 160 unasaliwa na Tshs 40. Hapo unaendesha biashara kwa hasara?
Imebidi nikupe...
Vipi na hii ya cdm ya mwenyekiti taifa kuja na majina mawili mfukoni ambao ni Masha na Wenje na kuamua uchaguzi usifanyike unaiona ni demokrasi? Na yenyewe hii haina viashiria vya Rushwa?
Na kwa uandishi huo wa mtoa mada huoni ni wa kuchafuana? Au huna sababu ya kuangaisha ubongo wako kwa...
1. Mbona viongozi wenu wotebni wazee na hawataki kuachia madaraka?
2. Mbona mgombea u-jpm wenu ndiye aliekuwa mzee zaidi ya wagombea wote na amefikia kwa sasa anatembea na choo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.