Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
JESHI LA POLISI LINAHITAJI UKARABATI UPYA ILI KUPATA AFYA MPYA YA KIUTENDAJI.
Mimi Deogratous Kisandu najua fika na nilishawahi kusema kupitia Kitabu changu cha "Utani wa Serikali na Wananchi" kuwa Jeshi la Polisi ni Mali ya wananchi hivyo jeshi linapaswa kuwa Jeshi la Utumishi kwa Raia.
Misingi halisi ya uanzishwaji wa jeshi la Polisi imepotoshwa na wanasiasa na Jeshi kujikuta linafanya siasa badala ya kuwajibika kiutendaji. Leo Askari kutumwa kumuoneshea Bastola kiongozi wake kwa maslahi ya kisiasa ni jambo la kawaida sana na hapo mambo yanapoharibika Askari hugeuziwa tuhuma.
Kesi nyingi za kubambikwa na za kupikwa kinyume na jeshi zinafanyika ikiwemo pia chuki za kisiasa.
Jeshi letu linapaswa kuwa jeshi la utumishi na sio Askari anamuwinda mtaani Deo Kisandu ili ambambike kesi na kupandishwa cheo. Maboresho ya Jeshi la Polisi utayapata katika Kitabu kijacho cha "KOSA LA NCHI" Siku Njema.
Deogratius Kisandu
ACA on the way.