ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,977
- 2,200
Wakuu
Leo ameachiwa huru mbunge wa kilombero, Lijuakali aliyekuwa akitumikia kifungo chake cha miezi 6
Karibu uraiani mbunge, ila ninajiuliza hapa bila ya majibu
Inakumbuka kosa ulilolifanya ilikua ni jimboni kwako huko kilombero na hukumu yake ilisikilizwa hukohuko kwenye mahakama ya mvomero!
Nachojiuliza, umefikishwaje kwenye gereza la ukonga?
Kwani huko kilombero na mkoa wa morogoro kwa ujumla wake hakuna magereza ambayo ungetumikia kifungo chako?
Ni sheria ipi ilitumika kukupeleka gereza la ukonga ilhali wewe hukuhukumiwa Dar es salaam?
Wajuvi wa mambo niwekeni sawa katika hili