Mkuu Trump anaweza kupiga miundombinu ya umeme mda wowote akitaka lkn anahofia majibu ya Irani yatakwenda kuharibu uwekezaji wote wa Marekani kwenye sektaa ya nishati huko Mashariki ya kati. Marekani kawekeza pesa nyingi sana mashariki ya kati na Iran anajua Hilo na pia uchumi wa Dunia upo...
Habari za mda huu wakuu? Kama kichwa Cha habari kilivyoeleza hapo juu. Naomba kujulishwa MACHIMBO ya jumla ya bidhaa za BUCHANI mfano samaki,nyama,kuku wa kienyeji na broiler na
Umeulizwa swali unaleta mipasho. Kosa la Mange ni lipi? Halafu usiweke umoja kwenye hyo kauli yako. Siyo wote ni wanufaika wa wizi na ufisadi. Sisi wahanga tutaendelea kumsikiliza na kushauriana nae Cha kufanya na tutafanya kilichosahihi kwa nchi yetu. Wizi,ufisadi,utekaji na mauaji lazima...
Kosa la mange ni Nini? Amekuelezeni ufisadi wa viongozi wenu,ameona mkitoa maoni yenu mnatekwa,mnapotezwa na kuuawa,amekuhimizeni mdai haki zenu kwakua ameona mnakandamizwa. Wajibu wa serikali yenu haukua ni kushika bunduki na kukuueni Bali ulikuwa ni kukusikilizeni na kusuluhisha penye tatizo...
Sasa mkuu amani yenyewe unayo? Unajua anaefatia kutekwa na kupotezwa ni Nan? VP kama ukiwa ni ww? Mm napenda amani ndomana nataka serikali ichukue hatua kukomesha utekaji na mauaji holela
Ahsante mkuu. Nimekusudia mikoa ila touch si unazielewa mwenyewe zilivyo. Sasa mkuu Jumanne mnada unakuwa mtaa Gani? Mm ni mchuuzi wa nguo za mitumba za grade A. Nisaidie jina la mtaa kwa siku ya J4
Wakuu,mm ni mfanyabiashara mdogo na biashara zangu Huwa mara nyingi natoa Dar napeleka Kijiji Cha Komkonga wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga. Sasa nataka kupanua soko nihamie mikoa mingine kwakua Komkonga Nina wateja wa oda wa uhakika.
Naomba Kila mmoja wenu anisaidie ratiba ya MINADA ya Mkoba...
Salaam kwenu Wana great thinker.
Naomba niwashirikishe kwenye mijadala huu KIJASUSI zaidi kwasababu jamii forum ni hom of great thinkers,hatuchukulii jambo juu juu.
Wakuu,Jana,sote tunatambua alijitokeza mtu aliyejitambulisha kama afisa wa JW mwenye cheo Cha captain kwa jina anaitwa TESHA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.