Watoto matumbo nje, na Kikwete kazi kucheka tu tangu asubuhi hadi jioni! Wewe ni baba, wewe ni mama, Tanzania ni familia yako - watoto matumbo nje, hawatoi haja kubwa, hawakojoi, hawana pa kujisitiri mvua, wewe unajiita raisi!
Kwanini mfanyakazi wa chama au serikali anayeishi Dar es salaamu...