Recent content by Tumaini Kinahe

  1. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania Milioni 23 kupata namba ya utambulisho wa vitambulisho vya uraia ifikapo Disemba, 2016

    Nadhani kuna watu hawajaelewa vizuri hawa jamaa wa Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA). Kwa ambavyo nimeelewa mimi kwanza hawa jamaa kazi yao sio tu kutoa vitambulisho vya TAifa bali kazi kubwa ni USAJILI na UTAMBUZI wa watu tena watu wote wanaoishi nchini Tanzania. Ikiwemo Raia, Wageni...
  2. T

  3. T

    JamiiForums Tanzania Usajili wananchi vitambulisho vya taifa kukamilika nchi nzima Disemba 31 mwaka huu

    USAJILI WANANCHI VITAMBULISHO VYA TAIFA KUKAMILIKA NCHI NZIMA DESEMBA 31 MWAKA HUU Serikali imekusudia kukamilisha Usajili Vitambulisho vya Taifa kwa wananchi wote kufikia Desemba 31 mwaka huu Akuzungumza na vyombo vya habari leo, msemaji wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa Bi. Rose Mdami...
  4. T

    JamiiForums Tanzania NIDA kuanza kuwalipa madai watumishi waliositishiwa mkataba yao

    Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), inawatangazia waliokuwa watumishi wa masharti ya mkataba ambao mikataba yao ilisitishwa tangu tarehe 07 Machi 2016, kwamba ofisi itaanza kufanya malipo ya madai yao kuanzia Jumatano tarehe 15 hadi Ijumaa 17 Juni 2016.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya NIDA: Ufafanunuzi wa malipo ya watumishi 597 waliochishwa kazi

    TAARIFA YA NIDA KWA VYOMBO VYA HABARI
  6. T

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Wizaraya Mambo ya Ndani ya Nchi afanya ziara ofisi za Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa

    Katibu Mkuu Wizaraya Mambo ya Ndani ya Nchi afanya ziara ofisi za Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Jaji Meja Jenerali Projest Rwegasira ametembelea Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ili kujionea shughuli mbalimbali...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Zoezi la Usajili na Utambuzi wa Watu kwa lengo la kuwapatia Vitambulisho vya Taifa Manispaa ya Moshi

    Zoezi la Usajili na Utambuzi wa Watu kwa lengo la kuwapatia Vitambulisho vya Taifa Manispaa ya Moshi. JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA (NIDA) TANGAZO KWA WANANCHI WOTE WAKAZI WA MANISPAA YA MOSHI Mamlaka ya Vitambulisho vya...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Zoezi la Usajili na Utambuzi wa Watu kwa lengo la kuwapatia Vitambulisho vya Taifa Manispaa ya Moshi

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA (NIDA) TANGAZO KWA WANANCHI WOTE WAKAZI WA MANISPAA YA MOSHI Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi, tunapenda kuwatangazia...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania waliopo nje ya nchi watapataje vitambulisho vya Taifa?

    Wasiliana na ofisi za NIDA pindi utakapofika Dar es salaam kwa maelezo zaidi. Ama tembelea tovuti ya www.nida.go.tz kupata mawasiliano na utapewa maelezo zaidi.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania waliopo nje ya nchi watapataje vitambulisho vya Taifa?

    [QUO Fika katika ofisi ya wilaya ulipojiandikishia kupata taarifa sahihi za hatua kitambulisho chako imefikia. Ziko sababu nyingi zinazochangia mtu kuchelewa au kutokupata kabisa kitambulisho. Mathalani sio raia wa Tanzania, utata wa taarifa, kukosekana baadhi ya taarifa muhimu za mwombaji, nk...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania waliopo nje ya nchi watapataje vitambulisho vya Taifa?

    Fika katika ofisi ya wilaya ulipojiandikishia kupata taarifa sahihi za hatua kitambulisho chako imefikia. Ziko sababu nyingi zinazochangia mtu kuchelewa au kutokupata kabisa kitambulisho. Mathalani sio raia wa Tanzania, utata wa taarifa, kukosekana baadhi ya taarifa muhimu za mwombaji, nk. Hivyo...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania waliopo nje ya nchi watapataje vitambulisho vya Taifa?

    Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA (National Identification Authority) ni Taasisi iliyoko chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi iliyoanzishwa mwaka 2008 kwa lengo la kutengeneza daftari la kielektroniki(database) leneye kumukumbu sahihi za watu na kutoa vitambulisho vya Taifa.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania waliopo nje ya nchi watapataje vitambulisho vya Taifa?

    Kama hujawahi kupata kitambulisho cha Taifa nawe una umri kuanzia miaka 18 na kuendelea unatakiwa kufika Serikali ya Mtaa/Kijiji unakoishi kujaza fomu ukiwa na vivuli (copy) cha viambatisho muhimu kama vile: Cheti cha Kuzaliwa, Vyeti vya Elimu ya Msingi na Sekondari, Pasi ya Kusafiria, Kadi ya...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania waliopo nje ya nchi watapataje vitambulisho vya Taifa?

    Vitambulisho vya sasa vitaendelea kutumika na pindi vitambulisho vipya vitakapoanza kutolewa utaratibu maalumu utatangazwa kwa wale watakaopenda kuwa na kitambulisho kipya. Hata hivyo ubora na taarifa za ndani ya kitambulisho unabaki kuwa ule ule tofauti saini iliyopo katika kanzi data...
Back
Top Bottom