Tumaini Kinahe
Member
- Mar 26, 2016
- 21
- 7
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), inawatangazia waliokuwa watumishi wa masharti ya mkataba ambao mikataba yao ilisitishwa tangu tarehe 07 Machi 2016, kwamba ofisi itaanza kufanya malipo ya madai yao kuanzia Jumatano tarehe 15 hadi Ijumaa 17 Juni 2016.