Wakuu kuku wangu hawa wa asili nimewanunua muda mrefu kweli lakini hawatagi wana tetea tu muda wote lakini kutaga hawatagi sijajua tatizo ni nini naombeni ushauri wenu tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepitia application znazofanyika nacte nimekuta ile sehem yakujaza namba ya mtihani wameweka option mbili tu namba ya kama school candidate na namba ya kama private candidate.
Swali langu nikua kama mimi ninavyo vyet viwili au kwamaana nyingine mimi nimeresit nikapatiwa chet kwahyo vtakua...
Kuhusu mda kwangu cyo tatzo coz bado kijana mdogo sana sins halaka yakwenda Chuo Kikuu kwan ndokwanza nafikisha miaka 20 mwaka huu, ila mkuu nukuulize kuna uwezekano angalau wakupata c katika kuresit kama upo serious kabisa sababu nataka kutenga mwaka mzima kwaajili yakuresit tuu
Sent using...
Lakini mkuu mimi nimesoma agriculture private nilikua namasomo mawili tu ya science mwanzo nilifanya application serikalini nikakose kwakua nilikua sina vigezo wao serikalini walikua wanataka d nne za masomo ya science na mm nilikua Nazi mbili nikaamua kwenda private sasa nataka kuresit ili...
Nataka niende nikarisiti cheti cha form four ila nimesha maliza certificate ya agriculture nimetuma maombi yakwenda diploma sijachaguliwa sababu sijafaulu mathematics katka chet changu je nikirisiti naweza nikachaguliwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wanashusha mabawa hyo in cocsidiosis waangalie vizur kinyesi chao kama kuna dam dam alaf unambie nikuelekeze dawa za kuwapatia
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.