Vifaranga vyangu vyaniliza

Vifaranga vyangu vyaniliza

Je ulikiingiza kibibi kizee au kibabu chochote cha sumbawanga kwenye banda lako?
 
naomba msaada jamani vifaranga vyangu vinakunja na kishusha koti baada ya wiki mbili na kufa.Nafanyaje au niwanyanganye mama yao

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu uwape chanjo zote kuna mtiririko wachanjo kutoka 1day old chick hadi adult kama utahitaji ntatupia.pia maranyingi Marek's disease inasumbua sana viarana wadogo so inaweza ikawa ndiye.
Thank u

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hiyo sehemu unayo walaza inapitisha baridi cha kufanya tafuta box uwe unawatumbukiza humo hilo tatizo litakwisha.

-Ndumilakuwili-
 
Mkuu uliesema Marek's hizo alizozitaja siyo dalili za Marek's. First day wape oxytretacycline na vitamin kwa siku 5 kwa ajili ya kitovu
 
Back
Top Bottom