Naombeni mnisaidie mawazo yenu kuhusu application NECTA

Tum4

Member
Jul 15, 2017
36
2
Nimepitia application znazofanyika nacte nimekuta ile sehem yakujaza namba ya mtihani wameweka option mbili tu namba ya kama school candidate na namba ya kama private candidate.

Swali langu nikua kama mimi ninavyo vyet viwili au kwamaana nyingine mimi nimeresit nikapatiwa chet kwahyo vtakua viwil kile cha kama school canddte na kile cha private candidate sasa ntawezaje kuingiza namba zote mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom