Recent content by Tulinje twayene

  1. T

    JamiiForums Tanzania Unabishana na marekani ila kumbuka kila unachotumia kubisha unatumia

    Acheni kuabudu wazungu maana so kwa mosifa hii mnayowapa. Pamoja na kutangulia kwao kiknolojia bado si sababu ya kutunyonya na kutupumbaza kiasi hicho
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kwa kukabidhi bandari tumemkufuru Mungu. Awezaye kuomba na aombe sasa maana ghadhabu ya Mungu ipo juu yetu

    Kwakweli.inasikitisha sana Mola aepushie mbali jana hili na awashushie laana wote waliohusika kusukuma agenda hii kwa kujua kabisa kuwa ni kuangamiza taifa.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Walioweka fedha zao Benki ya Silicon Valley kuweza kuzichukua kuanzia leo

    Ushahidi mwingine kuwa kuna mdororo mkubwa wa kiuchumi US. Vikwazo aweke yeye kuyumba ayumbe yeye kweli Russia ni dudu kubwa lisilotingishika
  4. T

    JamiiForums Tanzania Malezi ya watoto wa kishua

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  5. T

    JamiiForums Tanzania Malezi ya watoto wa kishua

    Nyie ndio mnauaga watoto kwa mahasira yenu ya kipuuzi. Mtoto anafundishwa na kuelekezwa sio kupigwa na kukatwa kichwa. Huko kulia ndio utoto wenyewe shaona mtu mzima analoa kama kengele?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Dodoma: 12 wafariki na 63 kujeruhiwa kwenye ajali ya Basi la Frester kogongana na Lori

    Hili basi lilibeba watu wangapi? 12 dead + 62 majeruhi + wazima.wasiojulikana idadi yao. Kuna basi linawezabeba abiria wote hao hapa Tanzania?
  7. T

    JamiiForums Tanzania Dodoma: 12 wafariki na 63 kujeruhiwa kwenye ajali ya Basi la Frester kogongana na Lori

    Kwahiyo Mungu kazidiwa na shetani mpaka kashindwa kuzuia?
  8. T

    JamiiForums Tanzania Hii ni kiboko, imetokea huko London kwenye mazishi

    Mwacheno Biden aende na ndinga zake nguvu ya kutembea hana jamani
  9. T

    JamiiForums Tanzania Putin: Thank GOD, European companies are leaving Russia

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuishi vizuri Dar es Salaam ishi Kigamboni

    Mkuu mkadiriajimajenzi uliishi survey kwa miaka.minne na sasa unapata utelezi kuishi kigamboni toka 2015. Unaongea kama unazungumzia nafsi yangu,, maana na mimi niliishi survey pia nikahamia kigamboni ingawa nako nilihama na sasa niko mkoani Iringa. Mkuu watu watakuoinga ingawa ukweli ndio huo...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  12. T

    JamiiForums Tanzania Yaandaliwe Mapokezi makubwa kwa Rais Samia tokea Marekani

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  13. T

    JamiiForums Tanzania Wenye ushahidi namna Paul Makonda alivyohusika kwenye utekaji, mauji na upigwaji risasi Lissu tuwekeeni hapa. Kuchafuana kisiasa ni ushamba

    Upewe ushahidi wewe ni mahakama? Ukishapewa utaufanyia nini au kwa faida ya nani. Endelea kuimba mapambio hapo kusifia wauwaji
Back
Top Bottom