mm binafsi ni muumin wa ustaarabu, pia kufuata taratibu tulizojiwekea, bunge lina kanuni ambazo kila mbuge ni shurti aziheshimu, leo nilikuwa naangalia bunge la Kenya wakati wanajadili suala la kenya kujitoa katika mkataba wa Roma ulioanzisha ICC ambapo nimeona wabunge wote yaani chama tawala na...
hapa la kupinga maamuzi ya manispaa ya bukoba hadharani wakati naye ni mjumbe katika full council nu uzushi wa wabongo. manispaa inaongozwa na madiwani wa ccm sasa na mipango yote imepitishwa katika vikao na madiwani hao hao haya kumchonga amani na kupinga kuboeshwa kwa soko na kupima viwanja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.