kufuatia vurugurugu mjengoni

kufuatia vurugurugu mjengoni

Utapigwa tu maana tumechoka ukijifanya imara zaid kuliko askari utapingwa maana hakuna njia nyingine
 
hata wewe pia unaonekana hujui unachoongea.

kutetea wapinzani wa nchi hii ni kama kujiunga na genge la wavuta bangi na wahuni kwani hawajuhi wanachofanya wala kufikiri, wanahitaji maombezi maalum

wewe ndye unayehitaji maombi maana hujitambui gamba mkubwa au unafaidika na system ila kuna siku utalipa yote haya mnayotufanyia.
Ngoja tusubiri.
 
Kumbe Tanzania hata wehu wanaongoza bunge?? Tumekwishaaa!!!!!!
 
mm binafsi ni muumin wa ustaarabu, pia kufuata taratibu tulizojiwekea, bunge lina kanuni ambazo kila mbuge ni shurti aziheshimu, leo nilikuwa naangalia bunge la Kenya wakati wanajadili suala la kenya kujitoa katika mkataba wa Roma ulioanzisha ICC ambapo nimeona wabunge wote yaani chama tawala na upinzani wanaheshim sana kiti cha spika na upinzani walipoona hawaridhiki walitoka nje kimya kimya, hivyo mbowe kakosea sana kutoheshimu kiti cha spika kama kanuni zinavyoelekeza. na kama hoja ni kupinga muswaada basi wangeanza mapema kupinga mfano hatuwezi kuwa na katiba ya Jamhuri ya muungano bila ya katiba za washirika, lakin kwa hali ilivyo kama wamechelewa. aliyetakiwa kutolewa nje ni mbowe sasa hawa wengine walikuwa wanazuia nn kwani hiyo ipo kwenye kanuni? labda tutafika tu
 
Upuuuzi mtupu kaa wewe ni mbunge unashindwa kutii mamlaka itakuwaje ukipewa hayo mamlaka...chama hiki kimekuwa dhaifu sasa...very ill decisons on the ground.
haki na democrasia lazima izingatiwe akili ndogo haiwezi kutawala akili kubwa
 
Last edited by a moderator:
:A S kiss:Hata asiyezijua taratibu za bunge vizuri,atakubaliana na mimi kuwa Ndugai hafai kuwa kiongozi.
he is totally mad for the madness is doing@wanatupa democrasia kwa mkono wa kushoto wakati mkono wa kulia wanailinda kwa bunduki
 
Kuna haja ya Wapinzani wote kujifunza ngumi na karate ili iwe rahisi kujihami
 
hata wewe pia unaonekana hujui unachoongea.

kutetea wapinzani wa nchi hii ni kama kujiunga na genge la wavuta bangi na wahuni kwani hawajuhi wanachofanya wala kufikiri, wanahitaji maombezi maalum

wanaojua wanachokifanya ni hawa, EPA, DOWANSI, TINDIKARI, MABOMU ARUSHA, VIFO VYA WATANZANIA+waandishi wa habari RISE OF UDINI TZ, NA MATOKEO MAZURI YA WIZARA YA ELIMU, hawa wanafanya mambo yanayojielewa maisha ya watanzania yameboresheka kwa 399%, sindio mkuu!?
 
Aliyeniacha hoi ni huyu babu wa kilaracha MREMA sijui anatafuta nini wapinzani wote wanatoka nje yy anabaki na kuahidi kumuunga mkono raic. Ndio maana wanasema ni kivuli cha CCM.
 
Upuuuzi mtupu kaa wewe ni mbunge unashindwa kutii mamlaka itakuwaje ukipewa hayo mamlaka...chama hiki kimekuwa dhaifu sasa...very ill decisons on the ground.

Wewe ni boss kwenye nyumba jirani yangu mimi, mimi ni boss katika nyumba yetu ya kikao, wewe unaomba mwongozo kwa nia njema tu, alaf mimi nakukatalia kukupa Mwongozo, wewe utajisikiaje? na badala yake nakuamuru ukae chini au kukuamuru utolewe na polisi wa nyumba ya kikao wakati una haki ya kupewa mwongozo...!

Ndicho kilichotokea Bungeni jana, Mbowe aliona kama anadhalilishwa kwa vile ni Boss wa kambi ya upinzani.

Mimi nimeeleweka kihivyo.
 
Back
Top Bottom