Recent content by Tule Gati

  1. T

    Sioni umuhimu wa daraja la Aga Khan - Coco beach kwa sasa

    Serikali ya Tanzania inachangia asilimia kumi na Tisa19% na pesa yote inatolewa na serkali ya Korea sasa sie tukatae wakati ni faida kwetu?
  2. T

    Rais Magufuli kupokea mabilioni kama Gawio kutoka Taasisi, Kampuni na Mashirika ya Umma 47

    Sie tunapambana na hali zetu, na tumezoea kwa sasa tunachapa kazi
  3. T

    Huu ni ufisadi kwa Wizara ya Madini

    Application fee for broker licence imeandikwa Tsh 50,000 na sio dola pia licence fee ni Tsh 200,000 na sio dola. Sasa hiyo dola 125 inatoka wapi. Lakini hukatazwi kama unaweza kubadili dola zako zikawa shilingi na ukalipa. Nakushauri kata leseni uwe huru bro. Haiwezekani mama ntilie,wenye maduka...
  4. T

    Hawa wageni wanaokuja Serengeti kuna Hela inabaki au ni Hewa tu na vigelegele?

    Wanalipa tena wanadai risiti , wazungu sio kama wewe
  5. T

    Hawa wageni wanaokuja Serengeti kuna Hela inabaki au ni Hewa tu na vigelegele?

    Huo ni uongo tena uliopitiliza , wanalipa hapahapa kwa kutumia kadi kama wengine tu, watu mpo negative kupitiliza .sie tunaoenda mara kwa mara huko tunaona wanalipa chakula vinywaji na malazi na wananunua vinyago n.k
  6. T

    Eric Shigongo, umemwona kaka yako?

    Kalila m,ashamba hapo kati yalisimamaa sasa ndo wameanza
  7. T

    Kwa mara ya kwanza najisikia kumiliki kitu Tanzania

    Gesi ipo mtaani Dar kama unataka nenda TPDC upewe maelekezo ya kuunganisha
  8. T

    ATCL kuanza direct flights to Mumbai

    Hivi mnataka mfanyiwe nini ndio mridhike , Mungu anawaona na vijiba vyenu vya roho
  9. T

    Edward Lowassa: Kipaumbele Na. 1 cha UKAWA, ni Ujenzi wa Reli ya Kati na Ufufuaji wa ATCL

    Yaani binadamu wengine hawana kumbukumbu kabisa sasa ukiwapatia ushahidi hata aibu hawaonii .
Back
Top Bottom