Rais Magufuli kupokea mabilioni kama Gawio kutoka Taasisi, Kampuni na Mashirika ya Umma 47

Mlikula pesa zetu sana kipindi kilichopita sasa ni wakati wa kuzilipa

Mtapata tabu sanaaa
 
Rais Dkt. John Pombe Magufuli, leo anatarajiwa kupokea Gawio la Serikali la mwaka 2017/2018 kutoka kwa Wakala, Kampuni, Taasisi na Mashirika ya Umma 47, ambayo Serikali inamiliki hisa. Tukio hilo litafanyikia katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar.
Tukio hilo litafanyika baada ya kukamilika kwa Zoezi la kutilisna saini Mkataba wa Ujenzi wa Selander Bridge.

View attachment 816233
Gawio linajulikana hata kabla rasimu za hesabu za mwaka hazijakamilika? Rasimu za hesabu (draft) kwa mwaka 2017/2018 zinatazamiwa kukamilika ifikapo 30 Septemba 2018 na kaguzi kuanza October 2018
 
Sasa si ipelekwe hazina yani show off zingine ni ujinga

Kuna jamaa humu amesema mtapata taabu sana...naungana naye...mtapata taabu sana kwa kweli...inapasa muwe wapole tu..unganeni na watanzania wengine kulisukuma mbele gurudumu la maendeleo..
 
Wafanyakazi acheni ujinga...kam mnaona mishahara haitoshi acheni kazi huku mtaani kuna graduates wengi wenye uwezo wa kufanya hizo kazi zenu tena kwa mshahara wa chini zaidi ya huo mnaolipwa
Nyie ndo mnatakiwa mkawe watumwa huko Libya, haiwezekani watu walalamike kutopandishiwa mishahara wakati muda wao wa kuongezewa mishahara umefika alafu wewe uanze kuwapinga eti kwasababu kuna graduates mtaa wanaoweza kufanya kazi kwa mshahara mdogo chini ya hapo. We unadhani hao graduates hawatolalamika kama na wao wasipoongezewa mishahara pindi huo muda ukifika? Kila mtu anapaswa kupata kile anachostahili, acha uzuzu.
 
s
Mishahara itapanda lin sasa jaman

Izo pesa tunasikia wao kwa wao tuuu
suluhisho ndugu zangu ni kufikiria ni kwa jinsi gani ya kutoka katika huo mduwara wa kutegemea mshahara sio rahisi kukubali na kufanya maamuzi kirahisi lakini laweza kuwa jibu la malalamiko tuliozoea.
 
Rais Dkt. John Pombe Magufuli, leo anatarajiwa kupokea Gawio la Serikali la mwaka 2017/2018 kutoka kwa Wakala, Kampuni, Taasisi na Mashirika ya Umma 47, ambayo Serikali inamiliki hisa. Tukio hilo litafanyikia katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar.
Tukio hilo litafanyika baada ya kukamilika kwa Zoezi la kutilisna saini Mkataba wa Ujenzi wa Selander Bridge.

View attachment 816233
This is good news.Ila binafsi naomba Rais aende mbali zaidi.Naamini ni katika awamu ya tano tuu ndio tumeshawahi kupokea gawio kutoka kwenye mashirika ambayo serikali imewekeza fedha za wananchi.Hii ina maana kwamba viongozi mbali mbali wametuiba sana.Viongozi hao wasiposakwa na kuwajibishwa itakuwa na maana kwamba tumebariki wizi huo na hatutakuwa tunawatendea haki wananchi.Binafsi kwa miaka mingi nimekuwa nikishangaa pesa yetu ya gawio inakwenda wapi.Sina hakika kama serikali kweli ilikuwa inapata kodi stahiki hata kutoka kwenye kampuni binafsi kama za simu,na kama fedha hizo zilikuwa zinapatikana kweli Serikali ilikuwa inaziona na kama ilikuwa inaziona zilikuwa zinatumiwa ipasavyo.Yapo makaburi mengi ya kufukua katika maeneo hayo,na tunaomba yafukuliwe, ili wananchi tuujue ukweli na wezi wote wawajibishwe.
 
Sasa si ukae kimya ya huku tuachie wenyewe wewe endelea na uscientist wako nyumbani kumenoga.
Hapo hapo mnasema tutapata tabu sana tuliobaki nyumbani!
Hizi show off nyingine hazina maana!Wasirushe live ili watu wapige kazi
 
Nahis kuna kitu hujaelewa. anaposema tumsaidie rais hana maana ni mali yake. Ana maana kuwa kikatiba raisi ndio aliyeapa kulinda maliasili za taifa kwa niaba ya wananchi wake. Ili kutimiza azima hiyo rais anaweka mfumo utakao wezesha yeye kutimia takwa hilo la kikatiba.
thanks mkuu,sina nia ya kuendekeza ubishi hapa ILA ni wapi aliapa hayo?mfumo unaousema ni upi? unaposema mfumo unamaanisha sheria?(kama ni ndio ni BUNGE TU lenye uwezo huu)
 
This is good news.Ila binafsi naomba Rais aende mbali zaidi.Naamini ni katika awamu ya tano tuu ndio tumeshawahi kupokea gawio kutoka kwenye mashirika ambayo serikali imewekeza fedha za wananchi.Hii ina maana kwamba viongozi mbali mbali wametuiba sana.Viongozi hao wasiposakwa na kuwajibishwa itakuwa na maana kwamba tumebariki wizi huo na hatutakuwa tunawatendea haki wananchi.Binafsi kwa miaka mingi nimekuwa nikishangaa pesa yetu ya gawio inakwenda wapi.Sina hakika kama serikali kweli ilikuwa inapata kodi stahiki hata kutoka kwenye kampuni binafsi kama za simu,na kama fedha hizo zilikuwa zinapatikana kweli Serikali ilikuwa inaziona na kama ilikuwa inaziona zilikuwa zinatumiwa ipasavyo.Yapo makaburi mengi ya kufukua katika maeneo hayo,na tunaomba yafukuliwe, ili wananchi tuujue ukweli na wezi wote wawajibishwe.
Sio kwamba hatukuwahi kupata gawiwo,ni kwamba gawiwo tulipata bila show off za namna hii!Awamu hii ni kiki mwanzo mwisho
 
Rais Dkt. John Pombe Magufuli, leo anatarajiwa kupokea Gawio la Serikali la mwaka 2017/2018 kutoka kwa Wakala, Kampuni, Taasisi na Mashirika ya Umma 47, ambayo Serikali inamiliki hisa. Tukio hilo litafanyikia katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar.
Tukio hilo litafanyika baada ya kukamilika kwa Zoezi la kutilisna saini Mkataba wa Ujenzi wa Selander Bridge.

View attachment 816233
Tunaamini sheria za makampuni zinafuatwa, yaani gawio kwa wanahisa linaamuliwa kwenye mkutano wa wanahisa. Tunachoamini pia ni kwamba mashirika haya ya uma yanawekeza sehemu ya faida kwenye mtaji ili kuweza kwenda sambamba na mahitaji ya teknolojia, uboreshaji wa bithaa na huduma wanazotoa, na kuimarisha raslimali watu. Tunaamini haya yanafanyika kwa uangalifu mkubwa kabla ya kugawa sehemu ya faida kwa wanahisa
 
Ndo Mambo yameshaiva Ukumbi wa Julius Nyerere.

IMG_5284.JPG
 
Back
Top Bottom