ZINE EL ABIDINE BEN ALI ambae alipata kuwa Rais wa Tunisia kwa miaka 24 mfululizo kuanzia alikuwa na figisu figisu kama huyu Ben Ali wa Magogoni ya Tanzania, alijitahidi sana kuudanganya umma na mataifa ya nje kwa zoezi la kura kila baada ya miaka 5 nchini mwake akishinda kwa zaidi ya asilimia...
Leo mchana kumesambaa taarifa kutoka bungeni Dom kwamba mbunge Zitto anajiandaa kuwasillisha bungeni mjadala binafsi kuhusu kesi ambazo nchi yetu imefunguliwa katika mahakama za kimataifa, katika madai hayo Zitto amedai ya kwamba kampuni ya uchimbaji wa dhahabu nchini ACACIA wamefungua kesi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.