Recent content by tukuzi

  1. T

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank: What a terrible experience!

    Tatizo sio benk zetu bali ni bot, kwasa wanajidai wana skili sana, lakini washindwa kuona idadi ya mabenki inaongezeka lakini watumiaji wanapungua!!!! Kila zali wapo!!!@ lakini wanapeta tu. Kama bot habadiliki wanaoweka akiba na wanaotaka kukopo wataendelea kulalama
  2. T

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wafungiwa nje

    Mkakati wa nini wao ni civil servants wanatakiwa kufika kazini saa moja na nusu kama hafika muda huo futa kazi baba wataifa akitumia watu wa darasa la pili kuendesha nchi. Watanzania lazima tuheshimu kazi rushwa ndio imetufikisha hapa tulipo
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wafungiwa nje

    Wafanyakazi wa makampuni binafsi, mabenki , bot wote wanajaa st. Joseph na azania front kuanzia saa kumi na mbili wengine wanasoma magazeti kwenye vibanda. Ili mabadiliko yatokee inabidi ngazi za juu washughulike na mambo hata tunayodhani ni madogo.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    Governance ndio imetufikisha hapa tulipo rich but dying from poverty
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Fact you can not builf strong intitutions if you have weak leaders.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mizani ya ufisadi: CCM bado ina kazi ya kujisafisha, muda wa kushangilia bado uko mbali sana

    Issue ya lowasa is a closed chapter let us use what we have.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    This is s good proposal as much of our money in out of the banking system. It is a good option.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tukio gani la kisiasa hutolisahau mwaka huu wa 2015?

    Mgonjwa wa kushikwa mkono kugombea uraisi kwa agenda ya mabadiliko!
  9. T

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari mmelikoroga Kikatiba katika uchaguzi, sasa mlinywe

    Basi kaeni kimya mnaandamana kwenda white house! Du
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Rais Magufuli yampa wakati mgumu Godbless Lema

    Mkumbuke dar sasa kuna many conference centres mpeni lema tupate biashara dar
  11. T

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari mmelikoroga Kikatiba katika uchaguzi, sasa mlinywe

    Tunapo sema jecha hanamamlaka ya kufuta uchaguzi wakati keshafuta mnamaana gani? Mamlaka ipi itatengua uamuzi wa jecha? Mbona hakuna aliyeenda mahakamani? Tuache usanii wapemba eanajuana wenyewe
  12. T

    JamiiForums Tanzania GE2015 If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!

    Anachosikitika lowasa sio kupata uraisi bali kukosa phd ya kupewa@@@@@
  13. T

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar Shein aendelea kuzindua miradi

    Kwani seif amejiuzulu umakamu wa raisi? Mbona naona anatumia gari ya makamu wa raisi@ tuseme ukweli siasa za znz hatuzielewi ya ngoswe mwanchie ngoswr
  14. T

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari wanasubiri tamko la Maalim Seif

    Mbona seif hajajiuzulu umakamu wa raisi? Ukwa mwasemaje?
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kati ya Godbles Lema na Monaban, yupi ana sifa za kuwa Mshenga wa WanaArusha Serikalini?

    Lema has expired hivi ana sgenda gani. Wana arusha election is over hamtaki uwaziri au mnataka maandamano. Ngoma imeondoka mtaisoma namba. If I was a resident of arusha I will not vote for lema as he has nothing to deliver. In pollitics no friendship is permanent tosa lema
Back
Top Bottom