Rais wa Zanzibar Shein aendelea kuzindua miradi

Rais wa Zanzibar Shein aendelea kuzindua miradi

Kwani seif amejiuzulu umakamu wa raisi? Mbona naona anatumia gari ya makamu wa raisi@ tuseme ukweli siasa za znz hatuzielewi ya ngoswe mwanchie ngoswr
 
Baada ya ile zomea zomea .......... naona kaamua sasa kujitutumua!!
 
Hili huwa linasema siku zote lakini mara punda hao utakuta wanazagaa,
 
Naendelea kuchapa kazi kama kawaida yake. MAJUNGU kawaachia wahusika!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom