Recent content by Tujiajiri

  1. Tujiajiri

    Msaada gharama za kuanza clinic

    Sawa nimekuelewa mkuu tupo pamoja nitazingatia pia ushauri wako.
  2. Tujiajiri

    Msaada gharama za kuanza clinic

    Mkuu punguza ukali wa maneno ila ujumbe wako nimeupata asante kwa ushauri wako.
  3. Tujiajiri

    Msaada gharama za kuanza clinic

    Mkuu naomba mtajie hiyo hospital ya bure ili dada kesho akaanze clinic mbona unapenda sana kubishana mkuu wakati ss tunakwambia uhalisia wa maisha jinsi yalivyo huku kwa ground.
  4. Tujiajiri

    Msaada gharama za kuanza clinic

    Ww sema tu ulikimbia kupima damu😀
  5. Tujiajiri

    Msaada gharama za kuanza clinic

    Ndio namhudumia mm mkuu amemaliza chuo mwaka juzi lakini hakupata ajira ila mwaka huu akapewa mimba na huyo mchumba wake waliokutana chuoni SUA na wote bado hawajaajiriwa kwa hiyo dogo nikamleta dar aje kujisikilizia mpaka ajifungue na kazi/biashara aliyokuwa anaifanya yy mkoani Lindi ya kuuza...
  6. Tujiajiri

    Msaada gharama za kuanza clinic

    Oooooohhh pole sana dada M/mungu akutie nguvu dada yangu.
  7. Tujiajiri

    Msaada gharama za kuanza clinic

    Sawa dada yangu,pole na hongera sana.
  8. Tujiajiri

    Msaada gharama za kuanza clinic

    Maelezo mengine tutawasiliana DM dada yangu.Asante
  9. Tujiajiri

    Msaada gharama za kuanza clinic

    Sawa dada yangu,pole na hongera sana huo ndio ukubwa usijali shemeji kama yupo mbali na ww atarudi tu mwache atafute maisha&pesa atarudi tu mpe muda.
  10. Tujiajiri

    Msaada gharama za kuanza clinic

    Ww ukitoka vikundi panda gari za mbagala ambazo zinatoka mkuranga au kisemvule halafu shuka mbagala rangi tatu hapo utapanda gari za chamazi nauli yake ni mia tano tu halafu shuka zebra ya chamazi hospital gari hapo huwa linasimama kwa ajili ya wanafunzi na wagonjwa kuvuka barabara.
  11. Tujiajiri

    Msaada gharama za kuanza clinic

    Mkuu naomba uongee uhalisia acha kumpotosha dada hapa hakuna hospital ya bure kuanza clinic na kama ipo basi naomba muelekeze dada yetu ili aweze kuanza clinic maana amechelewa sana kuanza miezi mitano ni mingi sana labda kama ni mimba yake ya pili au tatu labda atakuwa na uzoefu kidogo lakini...
  12. Tujiajiri

    Msaada gharama za kuanza clinic

    Njoo ijumaa dada yangu na hiyo elfu 30 gharama zingine mm nitazimalizia ukifika hapa hospital.
  13. Tujiajiri

    Msaada gharama za kuanza clinic

    Kama una ratiba ya kuja wiki hii chamazi nitakusaidia ila ukichelewa nasafiri naenda mtwara&lindi.
  14. Tujiajiri

    Msaada gharama za kuanza clinic

    Ndio hvyo kaka.mm nakaa na mdogo wangu alianza clinic nilimpa elfu 40 baada ya hapo nikawa nampa elfu kumi kila mwezi akienda clinic ila kipindi cha Magufuli mke wangu alianza clinic bure kabisa mimba zake zote mbili.
  15. Tujiajiri

    Msaada gharama za kuanza clinic

    Njoo chamazi~mbagala na elfu 40 hata bila mwenza watakusaidia tu ila waambie tu mwenzangu yupo nje ya nchi atachelewa kurudi.Hiyo elfu 40 shilingi elfu kumi kwa ajili ya utra sound,hela nyingine kipimo cha damu(HB) pia watakupima na homa ya ini sasa hivi ni lazima upime homa ya ini kwa mama...
Back
Top Bottom