Recent content by Tugai Ifoza

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kwa heri Major-General Lupogo. Tunakukumbuka kwa kipigo cha Sebambule dhidi ya Idi Amin

    Poleni wafiwa. R.I.P. Major General Herman Lupogo, umetuacha bado tunakupenda. sisi tulikupenda hapa duniani lakini mungu amekupenda zaidi.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Musoma mjini Vincent Nyerere aagwa na kupewa baraka

    Hongera kamanda tunataka nchi yetu irudi mikononi mwa waliowengi.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

    Kwa kuwa kila mwanadamu huwa anakosea , mimi naona baba askofu hapo amechemka.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya kadhi ndani ya Katiba - Tanzania

    Ni kweli, hata kama italetwa kwenye bunge ni vigumu kupata kura 2/3.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Video nyingine ya uwindaji haramu Tanzania

    hakuna mtu mwenye uchungu wa nchi yetu ktk viongozi wetu hawa walio madarakani.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Misungwi afiwa na mwanae

    R.I.P. ndugu yetu, na poleni sana wafiwa. bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe, amen.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Uraia pacha: Maslahi binafsi dhidi ya masilahi ya Taifa

    Ndugu yangu kibanga kampiga mkoloni, hata kama bado sijausoma huo wa india. mbona hizo nchi 4 za afrika mashariki wameupitisha huo uraia wa nchi 2?. au wewe unadhania hao jirani zetu hawana uchungu na nchi zao?. wenzenu tuko huku nje ya nchi tunatafuta maisha ili tujenge nyumbani, tusomeshe...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Uraia pacha: Maslahi binafsi dhidi ya masilahi ya Taifa

    Wenzetu wa Kenya, Uganda, Rwanda, na Burundi wote wanao uraia pacha. lakini sio sisi Tz. tuache ushamba ndugu zangu wabongo.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Jaji Lewis Makame afariki Dunia katika Hospital ya AMI Trauma Center, Masaki - Dar

    Poleni ndugu wafiwa. kwa huo msiba mkubwa ktk familia na ukoo wote, R.I.P. Jaji Lewis Makame.
  10. T

    JamiiForums Tanzania TACAIDS Mtahamia TACEBOLA sasa au?

    mimi nina jamaa yangu anafanya kazi hapo TACAIDS, kwa hiyo mjomba nakuomba usije ukaleta noma.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mzazi mwenzie na Afande Sele (Mama Tunda) Amefariki

    Pole sana ndugu yetu afande sele.
  12. T

    JamiiForums Tanzania R.I.P Katibu Mwenezi Kimandolu Arusha Robert Bifoo

    R.I.P. Kamanda, nasi tunakufata katika safari hiyo. .
  13. T

    JamiiForums Tanzania Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

    Hongera Profesa Kitila Mkumbo, waswahili wanasema wa mbili ni mbili tu, wambili havai moja.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Shibuda aumbuka

    Kwa kusema ukweli huyu bwana shibuda hata haeleweki. inawezekana ni pandikizi.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Chadema:fred Mpendazoe ajitosa rasmi kugombea nafasi Makamu M/kiti wa Chadema Taifa

    Ni kitu kizuri kugombea kwa ndugu mpendazoe kwani yeye ni jembe kwa kuzingatia uzoefu aliokuwa nao.
Back
Top Bottom