Recent content by Tuendelee

  1. T

    naoma ufafanuzi wa neno lad

    Niikuwa nasoma habari za michezo Kwa lugha ya kingereza mtandaoni. Lakini hapo sijaelewa hiyo lad maana yake nini au ni sehemu gani ya mmwili Ladda wanaelewa au kwa waliooona hii mechii wanaweza kutumia context kunifafanuia nami uongeze misamiati ya maneno katika hii lugha ya wenyewe
  2. T

    PC/Laptops : Games !! haya kwa wapenda games!!

    Kuna tofauti kubwa sana kati ya UFISADI wa Richmond na EPA na piracy ya Windows na games . Punguza Siasa
  3. T

    Ukweli wa kifo cha Kighoma Ally Malima ni upi?

    Anyway mkuu hiyo "albadiri" labda nimeekosea . Sikuwa na maana ya albadiri ya dini .kwa waswahili na wabantu wakristu kwa waislam wazaramu kwa wanyamwezi na makablila mbali mbali kuna imani za superstitions. So "albbadiri" hiyo chukulia kama "uchawi" fulani. Huo ni upande mmoja wa story...
  4. T

    Ukweli wa kifo cha Kighoma Ally Malima ni upi?

    Wengine wanasema Mke mkubwa wa marehemu hakujulishwa wala hakufurahishwa na Prof Malima Kuoa mke mwingine. kwa hiyo alisoma alibadiri Malima alifunga Ndoa na toto la kinyamwezi waishio Mwanza lakini kwenye harusi aliwakilishwa na ndugu yake. Baada ya harusi honeymoon ndiyo uko walienda...
  5. T

    Dkt. Mwakyembe: Nimekerwa sana na msimamo wa Jeshi la Polisi juu ya afya yangu

    Hapa kwa sisi wa pseculation kuna moja au mawili au yote kati ya haya . Tukiconnect za dots Kama alililishwa sumu wahusika ni chombo cha usalama na tena cha juu kiwe cha nje au ndani . Nje ya Tanzania sababu nimesikia pia alihusika kwa namna moja na kesi za Rwanda. Ndani tunaelewa scandal...
  6. T

    Dkt. Mwakyembe: Nimekerwa sana na msimamo wa Jeshi la Polisi juu ya afya yangu

    Mweye ushahidi wa wahusika EPA aupeleke.? Mwenye ushahidi wa Rushwa kwenye dili la RADA aupeleke Ukioana serikali yenye machinery na resources na taasisi za kiusalama na kichunguzi za kutosha inaomba msaada kwa mwananchi wa kaiwada mambo kama ya EPA, Rada ujue kuna haja ya Kubinafisha...
  7. T

    Kozi ya it imekuwa yeboyebo bongo sijui itakuwaje kwa miaka 5 ijayo kwenye ajira

    Watu mnagegenralise sana mambo. Watu wanasoma engineering so called origanal ya UDSM wanasimamia jengo na linaporomoka sasa ndiyo unashangaa Kusoma programming kwa wahindi...... Eti Programming. Programmin ndio nini kwenye IT? Kama anajiona anajua muache ajione anajua hata kama kasomea kwa...
  8. T

    5G wireless nework is almost here

    I think we need to clarify to so people to understand clearly difference between Wireless technologies and and Mobile technologies .A Netgear or CISCO router can enable a wireless connectivity of a computer or device at specific location (eg at home) but Netgear/CISCO router is not mobile...
  9. T

    5G wireless nework is almost here

    At which generation of WIFI are we now and what is is the minimum and maximum im transfer rate? Practically here in africa we are in 2G. and few place can enjoy stable 3G signals....... So how come 5G is here? Are you talking about mobile broadband of DSL connection And.... The motto...
Back
Top Bottom