naoma ufafanuzi wa neno lad | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naoma ufafanuzi wa neno lad

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Tuendelee, Mar 13, 2012.

 1. T

  Tuendelee Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Niikuwa nasoma habari za michezo Kwa lugha ya kingereza mtandaoni.

  Lakini hapo sijaelewa hiyo lad maana yake nini au ni sehemu gani ya mmwili Ladda wanaelewa au kwa waliooona hii mechii wanaweza kutumia context kunifafanuia nami uongeze misamiati ya maneno katika hii lugha ya wenyewe
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  Kwa nini unataka kutafsiri neno la kiingereza mojamoja badala ya sentensi nzima? ukisoma bila uvivu wa kufikiri utagunduwa kwamba lad maana yake ni kijana/ ujana
   
 3. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,753
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280

  Tena kijana wa kiume
   
Loading...