Recent content by Tuelimishanee

  1. Tuelimishanee

    Waliokuwa wafanyakazi New Habari waitaka Serikali imshinikize Rostam Aziz awalipe madai yao. Kuandamana nyumbani kwa Rostam na Bashe

    Na Andrew Chale, Dar es Salaam. WAFANYAKAZI zaidi ya 200, Waliokuwa wakifanyakazi katika kampuni ya New Habari (2006) Ltd, wametoa siku 14 kwa Mmiliki wa Kampuni hiyo, Mfanyabiashara na Bilionea Rostam Aziz awe amepeleka fedha za mafao katika mifuko ya Hifadhi ya Jamii ikiwemo NSSF na PSSSF...
  2. Tuelimishanee

    Wenyeji wa Mwanza - Nyegezi naomba mniambie sehemu nzuri ya kulala (Lodge)

    Habari za asubuhi wapendwa? Next week nina safari ya kwenda Mwanza, Sasa kwa wenyeji wa Maeneo ya Nyegezi naomba mniambie sehemu nzuri ya kulala (Lodge), ya bei 20k - 25k lakini pawe na huduma za msosi na vinywaji. Itapendeza nikipata Mawasiliano pia.
  3. Tuelimishanee

    Waandishi wa habari Dar walia na kampuni ya HQ kuwapa taulo zilizokwisha muda wa matumizi

    Na Mwandishi wetu, Dar Kampuni inayozalisha taulo za kike ya Human Cherish (HQ), Desemba 8, 2021 ilifanya Mkutano na waandishi wa habari kwa lengo la kutangaza uboreshaji wa huduma za kampuni hiyo,Sambamba na kugawa bidhaa hizo kwa waandishi waliokuepo katika Mkutano huo. Katika hali ya...
  4. Tuelimishanee

    Lodge / Hotel nzuri Mwanza

    Wadau wa JF naomba kuhulizia Lodge / Gest house nzuri ambayo inapatikana Maeneo ya Nyegezi au karibia hayo maeneo ni ipi?? Ambayo bei zake ni nafuu Msaada tafadhali itapendeza ukinitajia jina na mawasiliano tafadhali.
  5. Tuelimishanee

    Bei kubwa ya Data ya Internet mwiba maendeleo ya kidigitali Tanzania

    Wadau walia kila kona vifurushi kupanda maradufu tena kimya kimya 👉 Tasnia ya habari Mitandaoni, elimu, Dini, Burudani waathirika pakubwa Kutokana na kupanda maradufu kwa bei za vifurushi vya interneti nchini, huku GB 1 ya Data ikipatikana kwa zaidi ya dola 1.3 kumesababisha kupungua kwa kasi...
  6. Tuelimishanee

    Bei kubwa vifurushi vya data mwiba maendeleo ya kidigitali Tanzania

    📍 Wadau walia kila kona vifurushi kupanda maradufu tena kimya kimya 👉 Tasnia ya habari Mitandaoni, elimu, Dini, Burudani waathirika pakubwa Kutokana na kupanda maradufu kwa bei za vifurushi vya interneti nchini, huku GB 1 ya Data ikipatikana kwa zaidi ya dola 1.3 kumesababisha kupungua kwa...
  7. Tuelimishanee

    Wadau hivi hapa Bongo unaweza kutoa fedha kupitia ATM kwa kutumia Card za bank za nje ya nchi ?

    Wadau hivi hapa Bongo unaweza kutoa fedha kupitia ATM kwa kutumia Card za bank za nje ya nchi ? Na kiwango cha mwisho cha kutoa ni tsh ngapi kwenye ATM mashine kwa siku?
  8. Tuelimishanee

    Gazeti langu la michezo nilipe jina gani?

    HELLOW NAOMA MAJINA 10.. YA KITOFAUTI YANAYOWEZA KUKAA KWENYE GAZETI LINALODEAL NA MICHEZO NAMANISHA JINA LA GAZETI LANGU LIITWEJE ....LETE MAWAZO YA MAJINA HAPA
  9. Tuelimishanee

    Mwenye dikoda ya azam tafadhali

    KIPI HICHOO????????
  10. Tuelimishanee

    MSAADA WETU

    NDOTO YANGU NI KUWA CUSTOMER CARE SERVICES KATIKA KAMPUNI ILA SIJAJUA NI KOZI IPI ITANIFAA MAANA NINA ADVANCED CERT, YA MASS COMMUNICATION & JOURNALISM
  11. Tuelimishanee

    Clouds TV ndani AZAM TV Free

    Mungu mwemaaaa
Back
Top Bottom