Nimekuwa alter boy tangu 1997 hadi 2004, Na nilikuwa karibu sana na mapadre.
Sijawahi kuona wala kuhisi huu ushenzi. Walau kwa wanawake nimehisi.
Labda ulaya ila kwa Afrika hasa Tz haya mambo ni nadra sana kutokea kwa hii jamii.
Nadhani alitaka mahakama itoe hukumu ya haki bila kuingiliwa kisha kama ni faini au kifungo vitatolewa kwa mujibu wa sheria za mahakama.
Ila hayo makubaliano haina tofauti na mtu aibe halafu muyamalize kinyumbani, lazima mmoja ataumia tuu.
a
pole sana maana kiwango chako cha kuelewa ni kidogo mno. sab
abu hakuna zehebu la waromani na kama unamaaniaha wakatoliki basi hawa ndio waliofanya hata unaohisi waelewa wakaelewa sababu misingi yote ya elimu, selikali, Mahakama imeigwa kwa wakatoliki enzi hizo wakiitwa wakristo.
ila kwa vle...
Kama Ningelikuwa Na Mamlaka Ningeuliza Vzr Je Yupo Kiudukuzi Kwa Faida Ya Tz? Na Kama Sio
Namwabia Arudi Nyumbani Kisha Namwambia Dc Yeyote Amuweke Ndani Kwa Kosa La Kuidhalilisha Nchi Na Uprofesa. Akitoka Nampangia Kazi Kulingana Na Elimu Yake Kwa Mshahara Wa Udereva Aliokuwa Anapewa.
Maana...
Tangu Nianze Kupiga Kura 2000 SIJAWAHI kuchagua kiongozi Wa CCM lakini kama magufuri ataendelea hivi uchaguzi wa 2020 mungu akinijalia nitampa na nitachukua bango la chama changu na kubandika picha yake
Nakubaliana Na Kitila,
Maana Hata Waliposhinda Wabunge Wapinzani Maranyingi Na Madiwani Tumepata Sasa Iweje Wabunge Wawe Wachache Na Urais Apate Yeye?
Mm Nilimpigia Lowasa, Japo Iliniuma Kukosa Ila Nimekubali Tumeshindwa Japo Sijarizika.
Kama ningekuwa na cheo katika taasisi kubwa hapa tz, ningewapa tuzo itv kwa jinsi walivyotuonesha uchaguzi huu kila kona ya nchi walikuwepo.
NA SAM MAHELA NI RIPOTA BORA WA UCHAGUZI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.