Taja nchi zote za kidkteta na nchi zote za kidemokrasia,linganisha maendeleo ndiyo urudi hapa kuandika maoni yako upya.
Nchi za kiafrika Karibu zote ni za kidkteta,Kuna maendeleo gani zaidi ya hao madikteta kujilimbikizia Mali na madaraka wao,rafiki zao na familia zao.
Tuache ujinga
Wewe ujuaji mwingi lakini hamna kitu,andiko lako la October hakuna atakayetoka lilionesha jinsi unavyoandika hisia na ramli,hamna ujualo.
CCM itawezekana na itatoka tu,soon and very soon
Mtu yoyote,hata Samia mwenyewe akianza kuipigania Tanganyika kesho na akaamua kudai katiba mpya na kukemea watu kuuawa na kutekwa,kwetu sisi ni shujaa.
Warioba alihusika kutunga katiba ya 1977 lakini Leo kwetu ni shujaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.