Recent content by ttayo

  1. T

    JamiiForums Tanzania Hongera JK Utakumbukwa kwa Mengi, hasa kwa haya...! CCM oyeee!!

    katika kipindi hiki tunaona familia nzima ya rais wakiwa wajumbe wa neck
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mbowe, John Mrema, Kigaila kuunguruma Mwanza kesho

    chadema wananikuna kweli kweli
  3. T

    JamiiForums Tanzania UVCCM: Shonza na Mtela wasipewe kipaumbele, operesheni zao zisimamishwe

    ni kweli ukilelewa CHADEMA unakuwa na uwezo wa kuzungumza na kumbambanua mambo. ndio maana CCM inawatumia ila baada ya mda uwezo wao utakwisha kabiza wala wana CCM msilalamike kwani wahana mda watauwa wakawaida tu
  4. T

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Mnyika

    Mbona nasikia lukuvi ni mwalimu wa upe mbona hamlizungumzii hili
  5. T

    JamiiForums Tanzania Rizone Kikwete: Suala la elimu ya Mnyika

    form four na ualimu grade A
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nitamuunga mkono mgombea Ubunge yeyote wa chama changu (CCM) jimbo la Ubungo kumng'oa Mnyika

    kahaba tu kimawazo na matendo
  7. T

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa CHADEMA na wabunge wao kuhusu POAC

    huna jipya wewe ssm
  8. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania tahadharini kwani tunapotoshwa na M4C

    sijakusoma bado vizuri. kwa kipi ccm kinafanya
  9. T

    JamiiForums Tanzania CCM yaichinja CHADEMA Singida

    mmewapa vitenge na wali wakaja kula ukazani wamehamia sio
  10. T

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wajiunga na CHADEMA

    afadhali
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Harakati za kisiasa kupigwa marufuku

    nchimbi naona anaropoka kama muhongo
  12. T

    JamiiForums Tanzania Dk Kafumu akata rufaa Igunga

    majanga tena yameanza
  13. T

    JamiiForums Tanzania Anne Makinda: Spika asiwe mbunge, mawaziri wasiwe wabunge...!

    makinda kajitahidi kidogo japokuwa kakopi na kupesti ila mabunge mawili siyaungi mkuno. na ikiwa hivyo iwepo na utaratibu ya kuwachagua, vyeo vya kupewa vinamatatizo na tuzikubali. pia hili la kusema viongozi wastafu waingie moja kwa moja kwenye bunge la senate kwa lipi walichotufanyia tuendelee...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama (John Tendwa) amaliza mkataba wake, aendelea kukalia ofisi!

    Dah! ndio maana tunasema katiba mpya impunguzie rais majukumu
  15. T

    JamiiForums Tanzania PICHA; Lissu, Msigwa Walivyoiteka Iringa Jana!

    dah kama garika
Back
Top Bottom