Recent content by Tsyamatsy

  1. T

    JamiiForums Tanzania Je, Dini ni Sawa na Vyama?

    Chama chochote kiwe cha Siasa au kikundi katika Jamii kinakuwa na Katiba na miongozo yake, na iwapo unahitaji kuwa mwanachama wake inabidi ufuate masharti, taratibu na miongozo yake, na kinyume cha hapo inabidi ujitoe na usipojitoa watakufukuza. Katika Dini, upande wa sisi wakristu iwapo...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi Kwa Mbunge wa Morogoro Mjini, Abdul Aziz Abood: Bado tunasubiri yale madawati uliyotuahidi

    Huyu Hana mbambamba! Akitoa ahadi anatimiza!
  3. T

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi Kwa Mbunge wa Morogoro Mjini, Abdul Aziz Abood: Bado tunasubiri yale madawati uliyotuahidi

    Mheshimiwa, Kwanza nikupe pole na Hongera Kwa kazi unazofanya kwenye Jamii. Mheshimiwa nakumbuka mwaka juzi kwenye mafuriko na sintofahamu pale ilipokuwa awali Shule ya Msingi Juhudi, kata ya Lukobe, Viongozi akiwemo aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ilionekana eneo lile si salama tena Kwa watoto na...
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati mnalalamikia ule mchango wa Yanga kwa CCM, kuna hili liliwapita

    Kichwa chako kinafanyakazi vizuri Sana wewe! 👍🙏🙏
  5. T

    JamiiForums Tanzania Lema alituharibia wadau kwenye mhadhara wa jana na Polepole

    🤣🤣🤣
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kuachana rasmi na Yanga SC sasa Mchezaji Clatous Chota Chama huenda Akili zake nzuri zikawa zimemrejea kwa kusema huu Ukweli

    Umezaliwa mwaka gani wewe? Nisije kujibu kumbe umezaliwa juzi!
  7. T

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Cde. Polepole, Kuna kitu Watanzania hawakielewi

    Wewe binafsi ni mwana CCM, je unaona kuna uhuni? Kama ndio umechukua hatuna gani? Kama sio basi nakushauri usimshauri chochote kwani wewe si mgeni na yanayoendelea kwani hujui Ndugai yaliyomkuta, na ya huyo Gwajima je?
  8. T

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Cde. Polepole, Kuna kitu Watanzania hawakielewi

    🙏🙏👌
  9. T

    JamiiForums Tanzania Je, Kati ya "Oktoba linda kura' na "No reforms no election" ipi inahamasisha vurugu?

    Mambo ya kizamani hayo!! Hawakulazimishwa kusaini, kumbe walisaini kutegemea waje watushawishi tukafanye vurugu vituoni kwenda kinyume na masharti ya tume ya uchaguzi, lijinga Sana hili
  10. T

    JamiiForums Tanzania Je, Kati ya "Oktoba linda kura' na "No reforms no election" ipi inahamasisha vurugu?

    Bila Fujo! Kwa ulaini kabisa NO REFORM NO ELECTION!!!
  11. T

    JamiiForums Tanzania Je, Kati ya "Oktoba linda kura' na "No reforms no election" ipi inahamasisha vurugu?

    Huyu bwana mdogo nilidhani wanaomsakama wanamuonea, kumbe ni lijinga Sana, uliowaona wamekataa uliowaona ni wajinga, umesaini ili iweje?? Ili uje utuchonganishe na Dola watuvunje!! HUTUPATI NG'OOOO!!
  12. T

    JamiiForums Tanzania Je, Kati ya "Oktoba linda kura' na "No reforms no election" ipi inahamasisha vurugu?

    Kwa taratibu kabisa ukulele unashushia na maji bariiidiiii!!🤸🤸
Back
Top Bottom