Acha kulazimisha hoja? Kwani hujui kama ACT iliandika barua ya maombi ya kujiunga na UKAWA mpaka kesho hawajajibiwa na hawatajibiwa hata keshokutwa. Unajua tafsiri ya kutojibiwa?..............mpuuzi, huna maana na mengine mengi ambayo sitaki kutaja hapa kwa ajili ya maadili. Afu eti sizitaki...
Wana JF, wakati wengine wanashauku kubwa ya kujua EL atatoa uamuzi gani baada ya jina lake kufyekwa mimi binafsi nina shauku ya kujua kama EL ataendelea na safari yake ya matumaini aliyoianza kwa kasi ya kutoa rambirambi, kuchangia makanisa na misikiti kwa kiwango kile kile cha mapesa na...
Acha maelezo ya kitoto kwenye hoja ya msingi! Au huyo mwanamke naye tumfananishe na kifo cha balali? itakuwa busara kama ukasema mkewe hajazaliwa bado maana hata picture yake hatutoweza kupata. Kama viongozi wengine milupo yao tu inapigwa picha tunaijua kulikoni mke wa lipumba?
Hii post yako nikipimo cha uwezo wako wa kufikiri na image/taswira ya muonekano wako si wa nje tu hata wa ndani hata kwa watu ambao hawajawahi kukuona. Wenye busara wanatambua kuwa ni rahisi na kawaida mtu mjinga kuwaita/kuwaona wengine wajinga kwa kuwa hana uwezo wa kutambua upi ujinga na upi...
Huu ni utoto au ujinga? Hoja ya msingi ni source ya habari/udau wako. Watanzania mtumiege hata kaakili kadogo tu kujenga na kujibu hoja. Ulitakiwa ujibu hivi, wapi nimesema magazeti? Chanzo ni ........taja hapa, ache ubabaishaji.
Utetezi wowote utakaotolewa kwenye hoja hii itakuwa ina support sentesi yako ya mwisho tatizo la watanzania ni kichwani. Ukitaka kujilidhisha kwa hili pitia post za wote waliochangia mada hii utagundua vichwa vyetu vimeoza.
Nikukumbushe mkuu, masikini wa kichwani hana shida 1, pia hawezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.