Recent content by truthful

  1. T

    JamiiForums Tanzania House4Sale Tunauza na kupangisha nyumba za aina mbalimbali

    [emoji12] [emoji12]
  2. T

    JamiiForums Tanzania Zijue sababu za mama mjamzito kujifungua kwa oparesheni

    Pia uwe unafanya mazoez ni muhim ; wanawake wengi hujibweteka.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kisutu, Dar: Soudy Brown, Shaffih Dauda, MC Luvanda na wengineo wafikishwa mahakamani, wapata dhamana

    Yaani na ivi tz tu waoga wakuandamana uyu mhutu ataendelea kufanya atakavyo !
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nasubiri kwa hamu sana maamuzi ya JWTZ dhidi ya ' Twiti ' ya Zitto Kabwe kwa kuvitaja vifaa vyao vya Siri Ngerengere

    Jwtz ni yetu watanzania wote, hakuna kipya hapo zitto yuko sawa.
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu Jaji Mkuu, Philomena Mwilu akamatwa kwa tuhuma za rushwa

    Hongera jirani zetu kwa Ku handle mambo kisheria na kikatiba. Hapa kuna jamaa mmoja mnyarwanda yeye yuko juu ya katiba na sheria. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. T

    JamiiForums Tanzania Hawa watu hawaeleweki, wakiongozwa na Mkurupukaji-in-Chief!

    Am too offended with this nonsense.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ruge atimiza miaka 49, happy birthday Mdau

    Huyu jamaa ana heshima kubwa katika muziki wa hapa tz,lakin historia inaonyesha ni MTU wa visasi hasa msanii anapokataa kukubaliana na matakwa yake linapokuja suala LA maslahi.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Sakata la Sh.Trilioni 1. 5: Zitto kutoa maelezo mengine leo

    Where is 1.5 trillion ?!
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ni lazima kujadiliwe

    Wewe umemfaham lini bwana ******** ?!
  10. T

    JamiiForums Tanzania Huyu mbunge kushoto kwa Zitto anaitwa nani? Mbona kama amevaa "rubber bracelet" akiwa ndani ya ukumbi?

    Wewe ulieleta huu Uzi ni mshamba sana,kuna hata marais uku duniani huvaa izi rubber mfano ni rais wa Kenya.sioni ubaya wowote kuvaa izo rubber kwan MTU kuvaa iyo aimaniishi ndio ana tabia mbaya.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Zitto ataka kuonana na Askofu Kakobe sakata la uhamiaji

    Vijana wanaopigia debe utawala huu wa kishetani wanapaswa kuhurumiwa sana !
  12. T

    JamiiForums Tanzania Diwani amcharukia Magufuli: Hakuna Mwananchi atakayefyeka bangi kwenye kata yangu

    Safi sana Mh.diwani.
Back
Top Bottom