Where is 1.5 trillion ?!Act Wazalendo haijapeleka hesabu zake kwa CAG.
Chadema wameiba billion 7 .
Tanzania hatuna upinzani tuna majizi matupu.
Where is 1.5 trillion ?!Act Wazalendo haijapeleka hesabu zake kwa CAG.
Chadema wameiba billion 7 .
Tanzania hatuna upinzani tuna majizi matupu.
Zitto uswahili mwingi!Hahahaha kwanini usisubiri hoja zake ili uzijibu badala yake unaanza kumuattack yeye binafsi!
Zitto analazimisha kiki lakini hazimkubali.Zitto uswahili mwingi!
Maandamano vipi?, umehamisha Mada?, Kwa sasa tupo kwenye tasmini ya maandamano, hiyo pesa Kwa jinsi kichwa chako kilivyo tupu, empty Kwa kimombo hata ufafanuliwe na wafu hutaelewa, upuuzi umechukua eneo kubwa la sehemu ya kiwiliwili chakoKatika ukurasa wake wa twitter na facebook, Zitto ameseme leo ataelezea "matobo" ya majibu ya serikali kuhusiana na sakata la shilingi trilioni 1.5 na baada ya hapo wataliachia Bunge lifanye kazi yake.
Safi sana Zitto!
Hizi sio zama za zidumu fikra za mwenyekiti kama ambavyo kundi fulani la watu linavyotaka Taifa zima tuamini bali ni zama za zidumu fikra kinzani kwa maendeleo ya Taifa..
Nyie mabwege twambieni zilipo billioni 1500!Act Wazalendo haijapeleka hesabu zake kwa CAG.
Chadema wameiba billion 7 .
Tanzania hatuna upinzani tuna majizi matupu.
mkuu hela huwa haziishi..
Kina mobutu walikuaga wanajichotoa tu,
kina Abacha etc ,hela huwa haziishi,
hivi hata wewe Trilion 1 utaipeleka wapi?,maana huwa haifichiki kama pembe la ng'ombe,
acheni wale,ndo wakati wao huu

mkuu vip ccm mbona hujasema hapo au ni siafu ang'atae pumba hapigwi kofiAct Wazalendo haijapeleka hesabu zake kwa CAG.
Chadema wameiba billion 7 .
Tanzania hatuna upinzani tuna majizi matupu.