Pole saana mkuu,,
Hata uwe na physical appearance ya aina gani,, hata iwe abnormal kiasi gani hauwezi ukachukiwa na kila mtu au kukataliwa na kila mtu.
kwaiyo the case here is more spiritual.
Kuna tatizo kubwa katika ulimwengu wako wa kiroho
Watu wanafungwa wasizae, wanafungwa wasiolewe...