Recent content by TRUSTWORTHINESS

  1. T

    Rais Jakaya Kikwete amzibia ‘masikio’ Lissu

    my dear, comments zako zina mantiki lakini hazina nguvu. Lissu alipotakiwa kujitetea at least ali-cite vifungu vya katiba kuonyesha wapi rais alikosea,alionyesha udhaifu wa majaji walioteuliwa. ingenipendeza sana if u could give out some reasons why the president has went wrong. then utueleze...
  2. T

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    WE sio mahakama hadi kuamua kugawa mali kabla ya talaka. ila kumbuka sheria f.114 sheria ya ndoa inazungumzia mgawanyo sawa wa mali zilizochumwa kwa juhudi za pamoja ndani ya pamoja. hivyo mgawo wenu wa mali ni zile mlizochuma kwa pamoja tu.
  3. T

    NATAFUTA MCHUMBA WA KIKE aliye tayari.

    Ndugu wana JF. Naamini njia pekee ya kumpata mke/mme mwema ni kumshirikisha Mungu. Lakini imani lazima iendane na vitendo . i.e. lazima mtafutaji achukue jitihada za lazima kumtafuta huyo ampendaye na kama huyo mchumba ni mke/mme mwema basi lazima Mungu atafanikisha ndoa hiyo. Naamini pia kuwa...
  4. T

    Serious natafuta mchumba wa kike (19-24)

    Naomba nirudie kupost mada hii. Ni kweli natafuta mchumba wa kike. awe na sifa hizi: Umri: miaka 19-24 kabila:mkurya/mjaluo dini: mkiristo kazi: akiwa mwalimu itapendeza sana(mwalimu shule ya msingi/sekondari) appearance: mrefu wastani, mnene wastani, Rangi: yoyote. Mimi nina sifa hizi: jina...
  5. T

    natafuta boyfriend

    Napenda niwe boyfriend wako!
  6. T

    Natafuta mchumba wa kike!(serious enough)

    NATAFUTA MCHUMBA WA KIKE MWENYE SIFA HIZI: UMRI: ASIZIDI 24 KABILA: MKURYA/MJALUO DINI: MKIRISTO KAZI: MWALIMU(SHULE YA MSINGI/SEKONDARI) APPEARANCE: MREFU WASTANI MNENE KIASI-RANGI YOYOTE. MIMI NI: jina: Eliya eliya@rocketmail.com UMRI: 27 KABILA: KURYA DINI: MKIRISTO KAZI: MWANASHERIA...
  7. T

    Natafuta mchumba wa kike!(serious enough)

    Ni kweli natafuta mchumba wa kike. awe na sifa hizi: Umri: asizidi miaka 24 kabila:mkurya/mjaluo dini: mkiristo kazi: akiwa mwalimu itapendeza sana(mwalimu shule ya msingi/sekondari) appearance: mrefu wastani, mnene wastani, Rangi: yoyote. Mimi nina sifa hizi: jina: Eliya...
Back
Top Bottom