Recent content by Trufello

  1. Trufello

    JamiiForums Tanzania Ulevi wa mume unaelekea kuniharibia kazi

    Pole kwa changamoto unayopitia Huyo ndiyo chaguo lako my dear lakini kabla hatujatia neno lolote la kukushauri wewe mwenyewe ujikague wapi mnapishana sana na huyu Mume mlevi.. Maswali ya kuku uliza je hii tabia ameanza tu sasa hivi Au alikuwa mlevi tangu mnaanzaa uhusiano?na kama hapana wewe...
  2. Trufello

    JamiiForums Tanzania Cassie amalizana na Diddy siku moja baada ya kumshtaki kwa Ubakaji

    Halafu kila anavyozidi kuzeeka anazidi kufanana na Muhogo Mchungu ipo siku huyu atatuambia kwao ni Chanika😂😂
  3. Trufello

    JamiiForums Tanzania Gaza: Mpaka sasa, Watu zaidi ya 1,055 wamekufa na 5,000 kujeruhiwa

    Elimu duni na ujinga vyote kwa pamoja...
Back
Top Bottom