Recent content by TrueMan07

  1. TrueMan07

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

    Lenye mwanzo halikosi mwisho
  2. TrueMan07

    JamiiForums Tanzania Valentines's Day: Asili na historia yake hadi kusisimua Ulimwengu

    Valentine's day ilianza kwenye Dola ya Rumi ambapo ndio kitovu cha dini ya Katoliki, Rumi ilitawaliwa na ma empara/wafalme tofautitofauti, mfalme kwa kwanza kihistoria aliitwa Kaisari Julius mwaka 27KK, walifata wafalme wengine kama Pitalian, Karigula n.k, Dola ya Rumi ilikua na *miungu* mingi...
  3. TrueMan07

    JamiiForums Tanzania Muslim Hassanali awataka Waziri wa Mambo ya Ndani na wa Nje na Balozi wa USA wamshughulikie Mange Kimambi

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  4. TrueMan07

    JamiiForums Tanzania Halotel mnaboa

    Niliuziwa line ya halotel y kiuanafunzibmwaka jana, kama ilivyo ada nilikuwa naweka kila mwezi muda w maongezi wa kuanzia Tsh 10,000++ accoarding to my matumizi, lakini cha kushangaza kila yafikapo majira ya jioni network upande wa data ni ovyo kwa 95%, lakini ifikapo alfajir kasi ni ya...
  5. TrueMan07

    JamiiForums Tanzania Uzi kwa wale wenye roho ngumu tu..

    Ha ha ha haa ila angalizo limetolewa
  6. TrueMan07

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Fumanizi lilivyofanyika na nina ya kusema hapa

    Dah wanawake bana hata kwa pipi tu wanakamatika. Mungu tusaidie
  7. TrueMan07

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Fumanizi lilivyofanyika na nina ya kusema hapa

    "Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe. Yohana 8:7" Umefanya jambo jema sana kwanza kuzuia hasira maana kwa tukio hilobunaweza kujikuta unaamkia mahabusu kisha kumuacha rafiki yako anaendeleza mapambano, nobody is...
  8. TrueMan07

    JamiiForums Tanzania Nimedukua mawasiliano ya mke wangu kwa WhatsApp code, aisee anapanga makubwa kunisaliti nitakaposafiri

    Dah pole sana mkuu maana hilo n jaribu Senior Youth Adventist
  9. TrueMan07

    JamiiForums Tanzania Serikali yawataka wanaotumia dawa za kuongeza maumbile kuacha

    Hata kunenepa ni kuongeza maumbile pia, wapige marufuku vyakula visivyo na kiwango ambavyo ni visababishi vya matatizo hayo
  10. TrueMan07

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Marubani wawili wa chuo cha usafiri wa anga wafariki baada ya ndege yao kudondoka uwanja wa ndege wa Karume

    Rubani Bomani na mwanafunzi wake wa urubani, Edgar Mecha wamefariki dunia kwenye ajali ya ndege ndogo ya mafunzo Zanzibar. Ndege hiyo mali ya Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), ilianguka muda mfupi baada ya kupaa kutoka katika uwanja wa ndege wa Zanzibar na kuungua.
  11. TrueMan07

    JamiiForums Tanzania Nauza mashine ya kumenya viazi.

    Safi sana
  12. TrueMan07

    JamiiForums Tanzania No woman no cry huu msemo una ukweli?

    Basi mawazo yangu yalikuwa sahihi
  13. TrueMan07

    JamiiForums Tanzania No woman no cry huu msemo una ukweli?

    Barikiwa na asante
  14. TrueMan07

    JamiiForums Tanzania No woman no cry huu msemo una ukweli?

    Nimejishangaa nakuja jua maana ya huo wimbo leo
Back
Top Bottom